Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Ni wazi kuwa kuwa JPM na serikali yake kwa Mara ya kwanza wameamua kuliangalia jiji la Dar kwa jicho la makini tofauti na hapo awali baada ya watu wake kuamua kuikataa CCM kwa wingi pamoja na nguvu kubwa na mbinu chafu kufanyika.
Vitendo alivyofanya JPM kwa jiji kinyume na taratibu za kiserekali kwa ajili ya Dar kwa kipindi kifupi ni wazi anataka kurudisha imani iliyopotea.
Kwanza kuamuru Pesa za sherehe za Uhuru zipanue barabara ya Dar kipande wakati ziko nyingi nje ya Dar hazipitiki kabisa.
Kuhakikisha Muhimbili pekee wanaisimamia ipasavyo wakati matatizo yapo katika hospitali zote za rufaa na yanafanana, lakini ni ili wana Dar warudishe imani kidogo.
Kuamuru kuwachangisha mawaziri (wakitaifa) shilingi milioni 100 kwa ajili ya Shule za Dar pekee wakati hata huko watokako kuna kero hizo hizo.
Kuamrisha nyongeza ya bajeti ya shilingi Bilioni mbili kwa Dar kwa ajili ya Elimu kama vile matatizo ya madarasa yapo Dar pekee.
Hii yote ni kwavile CCM ekataliwa jijini na sasa wanaangalia wapi wamejikwaa na sio walipoangukia. Wale wa Dodoma, Katavi,Tunduru Nk mumejifunza somo hilo?
Kumekuwa na thread nyingi kuwa sehemu ambazo CCM inakataliwa Maendeleo yanakuja kwa kasi kumbe sababu ni hii? Na wengine mpaka wanafikia kula viwavi na hakuna anashtuka.
Sasa kumbe "KATAA CCM UPATE MAENDELEO"