Taarifa kutoka Dar es Salaam maeneo ya Posta, walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.
Taarifa kutoka Dar Es Salaam maeneo ya Posta,walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.
NO......NO........Ni vigumu kuamini na sinto amini hili mpaka nione kwa macho yangu...NO.....HAPANA KABISA.....HII NI LAANA.
Kwa nini basi kila mahala wanajenga miundombinu rafiki kwa walemavu.....!!!
Turudi misikitini na makani sani tukamuombe MUNGU
Hawa watu wanakera sana,wapo wengi sana dsm kuombaomba as if hawana ndugu yani,,mikoani huwezi kukuta mlemavu anazunguka kuomba mitaani bali wanalelewa majumbani,ila dsm kila kitu watu wanafanya dili..wengine wanazunguka na mtu ambaye ni mzima kabisa,hadi unajiuliza kwa nini huyo mzima asifanye kazi ili mlemavu atulie home alelewe nae?
Kama mtu haruhusiwi kuingia na baiskeli ya miguu mitatu wanataka wawane wanatambaa/wanasota ndio watafurahi?
Mbona wao wanaingia na magari mjini?
Jamani hii nchi ni yetu sote na vyeo nidhamanatu
Kama mtu haruhusiwi kuingia na baiskeli ya miguu mitatu wanataka wawane wanatambaa/wanasota ndio watafurahi?
Mbona wao wanaingia na magari mjini?
Jamani hii nchi ni yetu sote na vyeo nidhamanatu
Kila mmoja yuko huru na ana haki ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria na sidhani kama kuna sheria inayo mzuia mlemavu kuingia mjini duh ina umiza sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.