DSM: Walemavu wakamatwa na polisi kwa kukaidi agizo la kutoingia na baiskeli mjini

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,666
22,674
Taarifa kutoka Dar es Salaam maeneo ya Posta, walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.

 
Taarifa kutoka Dar Es Salaam maeneo ya Posta,walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.

Taarifa zaidi endelea kuskiliza Radio 5.

Hivi are these government people really mentally stable? Or maybe brainwashed in the name of politics????
 
Duuu hivi mjini hawaruhusu BAISKELI siku hizi??Mi nilijua bodaboda peke ake
 
NO......NO........Ni vigumu kuamini na sinto amini hili mpaka nione kwa macho yangu...NO.....HAPANA KABISA.....HII NI LAANA.
Kwa nini basi kila mahala wanajenga miundombinu rafiki kwa walemavu.....!!!
Turudi misikitini na makani sani tukamuombe MUNGU
 
Hawa watu wanakera sana,wapo wengi sana dsm kuombaomba as if hawana ndugu yani,,mikoani huwezi kukuta mlemavu anazunguka kuomba mitaani bali wanalelewa majumbani,ila dsm kila kitu watu wanafanya dili..wengine wanazunguka na mtu ambaye ni mzima kabisa,hadi unajiuliza kwa nini huyo mzima asifanye kazi ili mlemavu atulie home alelewe nae?
 
Kama mtu haruhusiwi kuingia na baiskeli ya miguu mitatu wanataka wawane wanatambaa/wanasota ndio watafurahi?
Mbona wao wanaingia na magari mjini?
Jamani hii nchi ni yetu sote na vyeo nidhamanatu
 
Kila mmoja yuko huru na ana haki ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria na sidhani kama kuna sheria inayo mzuia mlemavu kuingia mjini duh ina umiza sana
 
kila kitu mijini lazima kienda kwa utaratibu! Ila kwa Hawa walemavu wangekuwa wa mwisho! Kwani kero mijini ni nyingi sana zaidi ya hizo baiskeli zao
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom