DSM v/s Dubai.... Photos

DSM v/s Dubai.... Photos

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,211
Reaction score
13,051
Kariakooooo.jpg

17523_531831456889278_871428935_n.jpg

..........................

Mapendo.
TANMO
 
Mafuta wanauza wenyewe na fedha wanatunza wenyewe.
Ninyi madini yenu wanachimba waibaji na fedha mnazohongwa kupitisha mikataba mnaweka kwao.
 
kwa kizungu kuna neno linaitwa 'stagnant', sijui ndio kudumaa!
 
Historia fupi ya Dubai:
1. Hamna demokrasia.
2. Wananchi wachache kuliko wageni.
3. Mfalme wa Dubai kutumia fedha ovyo Mpaka akashindwa kulipa madeni. Mfalme wa Abu Dhabi akamkopesha .
4. Kuna nyumba chungumzima hazina wapangaji .
5. Waarabu wanauza Mafuta kwa bei ya chini kwa Marekani, na wanalindwa na jeshi marekani. Ndio maana husikii Saudi Arabia anapewa presha na marekani kuwapa wananchi demokrasia. Kama alimkorofisha king Abdullah basi Hana Mafuta ya bei poa wala soko la silaha.
6. Kuna ufisadi Dubai kuliko bongo. Fedha zote zipo mikononi mwa Mfalme na wananchi wanapewa nyumba, maji , Masomo na kazi ili wasiombe demokrasia, fedha zote zimekaa Geneva Sio uarabuni.
7. Hio Dubai unayoiona inamilikiwa na na kampuni ya Mfalme na jamaa zake na wageni. Mwananchi wa Dubai ni mvivu , hawezi kujituma na kazi zote zinafanywa na wageni hasa wahindi .
8. Mji wa Dubai umejengwa na mlala hoi wa nchi masikini kwa mshahara chini ya dola Mia Tatu kwa mwezi. Kuna Wakati mafundi Momba na sera mala waligoma kazi Mpaka wapewe fedha zao, wajikuta wapo Ndani halafu wakapelekwa kwenye Ndege kwa Nguvu bila hata kusikilizwa mahakamani.

Ndio Dubai ni Tajiri lakini ni wachache tu Ndio walioshika nchi na nchi inaendeshwa na Mfalme bila kujali Haki za binadamu wala demokrasia.
 
Mafuta wanauza wenyewe na fedha wanatunza wenyewe.
Ninyi madini yenu wanachimba waibaji na fedha mnazohongwa kupitisha mikataba mnaweka kwao.

Dubai haina mafuta..mafuta yako abudhabi..! Dubai walipata mafuta kidogo tu na wakamaliza! Kinachowaweka juu ni utalii na biashara! Dubai mtalii ni mfalme,kwanza AC mpaka kituo cha bus na train..hakuna mtalii kupata shida,wako strict na revenue collection,kila kitu ni automated,vitu kama tolls za barabarani na fine za overspeedin vyote automated! Wanakiongozi pia mwenye vision Sheikh Mohamed,ukiweka yote pamoja ndo unapata dubai! Kuwakuta walipo ni ndoto..ingawa inawezekana..
 
Historia fupi ya Dubai:
1. Hamna demokrasia.
2. Wananchi wachache kuliko wageni.
3. Mfalme wa Dubai kutumia fedha ovyo Mpaka akashindwa kulipa madeni. Mfalme wa Abu Dhabi akamkopesha .
4. Kuna nyumba chungumzima hazina wapangaji .
5. Waarabu wanauza Mafuta kwa bei ya chini kwa Marekani, na wanalindwa na jeshi marekani. Ndio maana husikii Saudi Arabia anapewa presha na marekani kuwapa wananchi demokrasia. Kama alimkorofisha king Abdullah basi Hana Mafuta ya bei poa wala soko la silaha.
6. Kuna ufisadi Dubai kuliko bongo. Fedha zote zipo mikononi mwa Mfalme na wananchi wanapewa nyumba, maji , Masomo na kazi ili wasiombe demokrasia, fedha zote zimekaa Geneva Sio uarabuni.
7. Hio Dubai unayoiona inamilikiwa na na kampuni ya Mfalme na jamaa zake na wageni. Mwananchi wa Dubai ni mvivu , hawezi kujituma na kazi zote zinafanywa na wageni hasa wahindi .
8. Mji wa Dubai umejengwa na mlala hoi wa nchi masikini kwa mshahara chini ya dola Mia Tatu kwa mwezi. Kuna Wakati mafundi Momba na sera mala waligoma kazi Mpaka wapewe fedha zao, wajikuta wapo Ndani halafu wakapelekwa kwenye Ndege kwa Nguvu bila hata kusikilizwa mahakamani.

Ndio Dubai ni Tajiri lakini ni wachache tu Ndio walioshika nchi na nchi inaendeshwa na Mfalme bila kujali Haki za binadamu wala demokrasia.

Ndugu...,swala la mfalme wa dubai kutumia hela ovyo umesema uongo,Dubai ilikua hit na crisis kipindi cha 2007 n 2008 kwa kua uchumi wake unategemea tourism,hivyo ilinecessitate dubai kukopa hela abudhabi..ukumbuke zote zinaform UAE (united Arab Emirates).kwaiyo wanasaidiana kwa kua ni nchi moja..!

Swala la kwamba imejengwa na walala hoi,ni kweli,lakini hakuna mhindi anaelazimishwa kwenda UAE,wahindi wengi ndo mafundi na madereva Taxi,hii ni kutokana na uhaba wa ajira makwao! Ila hawaja lazimishwa!

Wananchi wa UAE( dubai,abudhabi,Ras el khaimaa,etc) hawazidi 2milion,wahindi ndo wanafuatia kama 3milion! Ndugu kwa hela walizonazo ni haki kuwajengea wananchi wao,na sikwaajili ya kuwapumbaza wasililie democracy!
 
Umeishi huko miongo mingapi swahiba?
 
Naomba kujibu: Lazima ujue crisis ilikuja vipi kutoka Marekani mpaka hapo Dubai. Serikali ya mfalme wao alikuwa anatumia pesa ya kukopa na kujenga Dubai mpaka unavyoiona hapo kayika picha, lakini pesa ilipoanza kukauka hajaweza kumaliza projects zake na mwisho mfalme ya Abu dhabi, akamkopesha. Ilikuwa inadaiwa US 80 Billion. Upatikanaji wa mkopo umeifanya kila mtu akimbilie kujenga nyumba na mkopo ulipokauka ukakuta nyumba chungu mzima hazina wapangaji. Majengo yoye na majumba ya kifahari yaliojengwa hayana wanunuzi. Utalii ni muhimu kwa taifa lao na ndio system ina fanya kazi. lakini ibainike pia kuna HAMNA demokrasia. Nchi inaendeshwa na Mfalme. Ni sawa sawa na Tanzania ilipokuwa inaendeshwa na Nyerere. Kuhusu wageni kusema hawakulazimishwa kufanya kazi huko ni sawa sawa. Lakini jiulize ni haki, kama umeletwa kihalali kufanya kazi halafu haki yako ukinyimwa, huna haki ya kwenda mahakamani na ni haki kufukuzwa papo hapo kwenda kwenu bila ya kupewa haki yako? Uhaba wa ajira kwa wageni ni sababu ya kuwanyima haki? Kama fikira yako ipo hapo basi huelewi kimakini haki ya binadamu ni nini. Fikira yako pia ya kuwa as long as mwananchi anapewa nyumba, chakula na kazi na dekteta wake, basi si muhimu kuomba haki ya msingi ya binadamu kama ya kupiga kura chama unachokipenda au kuomba haki mahakamani kwa kuwa unalishwa? Hii ni sawa sawa na vyama vyetu kuwapa halalahoi kanga au sukari ili wawapigie kura? Dubai ni nzuri kwa mtalii, lakini utakapoingilia maswala ya haki za binadamu au kuomba haki katika mahakama zao, ni sawa sawa na kuishi katika nchi za kidikteta. Na alieuliza kama nimeishi Dubai inabidi uamke kisomo, si lazima kuishi sehemu na kuweza kuijua kindani, kuna internet, vitabu, TV, google, na kadhalika.
 
Ngoja nikuongeze za Dubai
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1373158726612.jpg
    uploadfromtaptalk1373158726612.jpg
    18.7 KB · Views: 149
  • uploadfromtaptalk1373158772309.jpg
    uploadfromtaptalk1373158772309.jpg
    22.9 KB · Views: 140
  • uploadfromtaptalk1373158789831.jpg
    uploadfromtaptalk1373158789831.jpg
    15.2 KB · Views: 141
  • uploadfromtaptalk1373158802212.jpg
    uploadfromtaptalk1373158802212.jpg
    45.3 KB · Views: 132
  • uploadfromtaptalk1373158815107.jpg
    uploadfromtaptalk1373158815107.jpg
    16.2 KB · Views: 125
Back
Top Bottom