droni zimekuwa "game changer" na moja ya silaha kuu na muhimu zaidi katika vita vya kisasa, zikibadilisha kabisa jinsi mapigano yanavyoendeshwa duniani.
Hata hivyo, ingawa droni zinaongoza kwa mapinduzi ya kiteknolojia na ufanisi uwanjani, wataalamu wa kijeshi wanazichukulia kama silaha inayokamilisha mifumo mingine ya kijeshi badala ya silaha pekee inayojitegemea