DRIVER:Sheria ya kosa la kuendesha vibaya imebadilishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DRIVER:Sheria ya kosa la kuendesha vibaya imebadilishwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Mar 29, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF naomba msaada wenu leo ndugu yangu kakamatwa na traffic pale Mikocheni kwa kosa la kuendesha vibaya. kapelekwa Oysterbay Polisi akaomba aandikiwe fine alipe mara afande aliyemuleta akamwambia sheria hiyo imebadirishwa inabidi ukae ndani(Jera) kwa muda fulani then ndo wakutoe. Mimi nilifika pale nikakuta madriver kama watano(wa private car na daladala) wanaingizwa Jera kwa makosa ya kuendesha vibaya.
  Cha kushangaza kabla ya kutoka aliulizwa na afande unasemaje sasa? then mtuhumiwa akasema nitaripa fine yoyote baada ya kutoka afande kachukua kama 50,000 bila hata ya risiti. Madriver wengine walibaki Jera baada ya kukosa watu wa kuwatoa.
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  ok baada ya hapo mlichukua hatua gani?jina na no ya askari mliyempa rushwa mmenakili?mngemkamatisha tu baada ya hapo nyie vipi?
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimechua jina lake na na ID namba yake but kwa sababu nilikuwa nimechelewa ofcn we decided to give him mana alikuwa anazidi kutupotezea muda
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  dah baada ya hapo sijui kama mnaweza kumtengeneza maana hamna ushahidi tena.
   
Loading...