hapo dereva soon atachukua nafasi ya kuwa baba mwenye nyumba
Hiyo mizunguko anayoenda mumewe hajui ni ya wapi na anaenda kufanya nini maana kama hana biashara au shughuli za mjini anaenda wapi
Duu mapigo ya moyo yamebadilika
kwani hizo siku za weekend ye hawezi kumuendesha mkewe.........
kwenye the so called "Mizunguko yake"
dereva ataanza kumsaidia so soon
Mambo....ataweza wapi ndugu yangu na viringe vya jumamosi vinavyonogaga..........tatizo mke anagari yake....deal ilikua wamtumie dereva weedays only kwa ajili ya kubana matumizi ya mafuta ....hivyo wanatumiaga gari ya mwanaume na ya mama inapaki ... sasa mama kanogewa yeye sasa ivi anamtafuta dereva mpaka weekends anatokanaye......sasa sijui kanogewa na dreva anavyo mride.
Ni wivu tu amwache kijana wa watu afanye 'udereva' huko!
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na huyu dreva wao.....ananiambia siku hizi kila jumamosi mke wake anampigia huyo dreva simu amfuate ampeleke kwenye mizunguko yake...kurudi ni late afternoon and siku ingine jioni......nikamuuliza kwani kuna shida gani dreva kua karibu na bosi wake, jamaa kidogo aniwashe kibao.......Kwa kweli tabia ya vijana wadogo kuajiri vijana wenzao kuwa madereva wa nyumbani ni uvivu wa kupindukia.....haohao ndio wanawaharibu watoto na kuharibu hata ndoa..kuweni makini jamani.

dereva atakuwa kesha anza kumuendesha hadi kwenye viwanja vya 6*6.
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....