Dreva Tax na Walevi

Dreva Tax na Walevi

bombu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,127
Reaction score
544
[h=6]walevi watatu walipanda kwenye tax,basi dereva tax alipoona jamaa wamelewa akawasha gari na kuizima kisha akawaambia tushafika...mlevi wa kwanza akalipa nauli,wa pili akamwambia asante sana dereva yule wa tatu akampiga bonge la kibao dereva akajua jamaa amemshitukia ndo yule mlevi akamwambia next time jifunze kuendesha gari polepole![/h]
 
Dowloading..10%..20%..30%...60%..100%
Save as
Installing ..10%..20%..30%..100%
Open
haaaaaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom