Dressing code ya harusi ya Kafulila nimeipenda

Dressing code ya harusi ya Kafulila nimeipenda

Pretaaaaaaaaaaaaaa! hakika umeoza kwa bwana mdogo.
Ni dogo tu,yani anatoka chuo kaitwa jimboni agombee na akapita coz yupo vzr sn.Ukimwona amepiga gwanda ndo utabaki unanyevuka tu,ver handsome David.

Wewe unafaa kwenye hii timu yangu........come this way.........
 
Sasa angekuwepo na huyu hapa kushoto picha ingependeza mno!
View attachment 204600

Huyuuu anatofauti na hao. coz huyu anajifanya kumponda makinda then bar wana dance wote. Anakwambia siasa haina uadui.
Hawa vijana wanafanya siasa ya ukweli. Kama mtu wanamchukia kweliii! Kama mwizi ni mwizi kwenye kamera na hata bar!
Asingependeza
 
1972276_10152802115044360_6237464108418538903_n.jpg

Bwana Harusi David Kafulila wa pili kushoto akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe wa kwanza kushoto na marafiki zake David Silinde wa kwanza kulia na Zitto Kabwe wa pili kulia. Mia
pongezi kafu na kila la kheri..hakika mnapendeza vijana. ila hakuna muda kupumzika
kateni mzizi iptl in such way inakua mwisho. ie taifisha mtambo filisi wezi funga jela wezi.
 
Tumalize kwanza swala la kamanda..........mengineyo yatajifunua yenyewe..........

Daaah! Kauli hizi hukaribisha maadui na wafitini, ndo mwanzo wa kuchepuka, hata kama umeniloga kwa nia njema, hapa mtima unadunda tuuh tuuh na maumivu nywiiii
 
Back
Top Bottom