Dressing code ya harusi ya Kafulila nimeipenda

Dressing code ya harusi ya Kafulila nimeipenda

1972276_10152802115044360_6237464108418538903_n.jpg

Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde,Zitto Kabwe na Mwami. Mia

wamependeza saana
 
kutoka mrefu hadi mfupi jinsi walivyosimama ndio nimegundua
 
Pretaaaaaaaaaaaaaa! hakika umeoza kwa bwana mdogo.
Ni dogo tu,yani anatoka chuo kaitwa jimboni agombee na akapita coz yupo vzr sn.Ukimwona amepiga gwanda ndo utabaki unanyevuka tu,ver handsome David.
 
Mnaouliza wenzenu wataoa lini nyie mmeolewa?
 
Back
Top Bottom