Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Dls king, master, JamiiForums Goat

THE JAMIIFORUMS BEST DLS PLAYER OF ALL TIME
Nahitaji upinzani wa DLS ndani ya JamiiForums
 
Attachments

  • Screenshot_2026-05-18-17-26-11-705_com.firsttouchgames.dls7.jpg
    Screenshot_2026-05-18-17-26-11-705_com.firsttouchgames.dls7.jpg
    300.2 KB · Views: 6
Dls king, master, JamiiForums Goat

THE JAMIIFORUMS BEST DLS PLAYER OF ALL TIME
Nahitaji upinzani wa DLS ndani ya JamiiForums
Oya acha kujisifia , jukwaa zima linajua Mimi ndiye King wa DLS kutokana na rekodi zangu mbalimbali mpaka nikawa nafanya mpango nishiriki majukwaa ya nje nipate challenge ya DLS maana uwezo wangu ni mkubwa sana .
 
Safari hii nitakuwa na daftari langu la kumbukumbu sitaki blaa blaa
 
Nina kama mwaka sasa sijacheza DLS unavyoanza kutamba uatafosi unirudishe majeshi upaya maana sipendi mtu atambe pande zangu.

Vipi DLS ya Sasa Kuna maunyama gani mapya ? maana screenshot uliyoweka nimeona kama Kuna improvements mpya
Maunyama yapo megi, ngoja nianze kutafuta emoji za kutia uchungu WhatsApp
 
Back
Top Bottom