Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Huu uzi inakaribia mwaka sijaugusa kwa sababu hapa kati game lilikua la kiwaki sana[emoji3][emoji3] toka nimeuza iphone nilishuka hadi tier 7[emoji23]
Oi hivi unatumia mfumo gani? Mi nina 4-2-3-1 ila napigwa kama ngoma huwezi amini nimekwama tu tier 8...

Nipe mfumo wa kutoka hapo
 
Back
Top Bottom