adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,797
Ila nasikia E_fooball Kuna mambo ya kununua vikosi , kuwa competitive lazima ununue kikosi ukisema ukomaa utasugua benchi miaka kibaoUje
😂
Ila nasikia E_fooball Kuna mambo ya kununua vikosi , kuwa competitive lazima ununue kikosi ukisema ukomaa utasugua benchi miaka kibaoUje
😂
Ipo ila sio sana. Kikubwa ni uchezajiIla nasikia E_fooball Kuna mambo ya kununua vikosi , kuwa competitive lazima ununue kikosi ukisema ukomaa utasugua benchi miaka kibao
Nani amekupa crown hio babu watu tupo😀😀Dls king, master, JamiiForums Goat
THE JAMIIFORUMS BEST DLS PLAYER OF ALL TIME
Nahitaji upinzani wa DLS ndani ya JamiiForums
DLS nimeshasahau kabisa saiv... Kaza efootball uwe pro tuguse mkuu pia karibu kule kwenye uzi wetu 😃😃Sijawahi acha kucheza dls. Na hio ndio list ya games zangu.
E football nacheza lakini sio saana
Sahizi muda mwingi nipo dls
Selikavu adriz Wakipekee Fene
View attachment 3610566
Naona wameimprove saivi kuna legends na huko namwoma Rivaldo hapoKikosi kimeshiba na sub nayo imeshiba
View attachment 3610580
Wapo wengi ukija utawakuta kina batistuta lothar mathaus berkamp desaily suker chielini na wengine wengi kuna namna ya kuwapata crespoNaona wameimprove saivi kuna legends na huko namwoma Rivaldo hapo
Poa nipe yako ya pugb nipo live hapaDLS nimeshasahau kabisa saiv... Kaza efootball uwe pro tuguse mkuu pia karibu kule kwenye uzi wetu 😃😃
Nipe Id yako ya PUBG nikuadd
Efootball ni vile sichezi sana ila kikosi kina 3120 collective strengthDLS nimeshasahau kabisa saiv... Kaza efootball uwe pro tuguse mkuu pia karibu kule kwenye uzi wetu 😃😃
Nipe Id yako ya PUBG nikuadd
Niliwaacha nilikua na Petit sijui😃😃Wapo wengi ukija utawakuta kina batistuta lothar mathaus berkamp desaily suker chielini na wengine wengi kuna namna ya kuwapata crespo
Ngoja nilete zile id numberPoa nipe yako ya pugb nipo live hapa
Aah kipo vzr kaZa kikue😃Efootball ni vile sichezi sana ila kikosi kina 3120 collective strength
52268525315Poa nipe yako ya pugb nipo live hapa
Duh una marobot mimi bado sana kufika hapoAah kipo vzr kaZa kikue😃
Changu ninachochezea japo ni cha mdau ameniachia nimtunzie nimepata bahati kwenye spin kazaa nimekipandisha mpaka hapoView attachment 3610665
Kuna kununua account pia huku kama me nimenunua sana na kuuza😃😃Duh una marobot mimi bado sana kufika hapo