Kikosi raha ukijenge mwenyewe si ndioKuna kununua account pia huku kama me nimenunua sana na kuuza😃😃
Kama ukiwa 25 to 30 unapata account nzuri tuu ya strength ta 3200 na kuendelea
Hutembei hizo njemba zinakaba😃😃Nilikutana na jamaa ana fabio cannavaro na rijkaard🙌🙌🙌
Mimi nilikua na acc ina kina robinho na romario kina ronadinho nililink na konami id ila ikapoteaKikosi raha ukijenge mwenyewe si ndio
Ndiyo mkuuKikosi raha ukijenge mwenyewe si ndio
Kumbe mkongwe hukuMimi nilikua na acc ina kina robinho na romario kina ronadinho nililink na konami id ila ikapotea
Rijkaard kawekewa role ya anchouring ***** halafu ana viera nilikula tatu bila nikashukuru sanaHutembei hizo njemba zinakaba😃😃
Nimeanza kucheza hilo toka 2020 mzei ndio walikuepo hao watuKumbe mkongwe huku
Hili game kuna viungo ukikuta mtu anao unajua kazi ipo hap jamaa wapoRijkaard kawekewa role ya anchouring ***** halafu ana viera nilikula tatu bila nikashukuru sana
Me nimeanza mwaka jana mwezi wa pili 😃😃Nimeanza kucheza hilo toka 2020 mzei ndio walikuepo hao watu
Kamchukue Rodri amekuja leoNdo nakikuza mdogo mdogo sitoi hata mia labda huyo nunez ndio nilimnunua buku 2
Hichi kikali😃Ndo nakikuza mdogo mdogo sitoi hata mia labda huyo nunez ndio nilimnunua buku 2
Nilisahau ngoja nikakuchekiTwende PUBG kama upo free
Uliona id yangu
DoneKwenye kuspin au wapi?
Kwenye special pack huku karibu mwishon kabisa amekuja wa nominating contractKwenye kuspin au wapi?
Umemuona??Kwenye kuspin au wapi?
Kuzipata hizo tano sasa si mpala kwenye challenge kuleUmemuona??