Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,391
- 115,636
Ni ndefu hivo, hongera
hii nimeipenda naenda kuifanya.. ila ukipatafundi mzuri hizi kitu ni nzuri sana
nimeongezea .. ila siku mje na namana ya kutunza hizi dreadlock sababu wengi zinatushinda aiseeeNi ndefu hivo, hongera
Umeongezea means umezishonea rasta zingine kwa juu?nimeongezea .. ila siku mje na namana ya kutunza hizi dreadlock sababu wengi zinatushinda aiseee
Hahahah kwa raha zangu. Yani nikiona mtu kabana dreads zake namtamaniaje but sijui kwa nini sijawiwa kulock dreads kama hivyo . BTW napiga sana tu rough dreads
Mie dreads ndo naziweza make kusuka siwezi, weaving wigs nazionaga tu kwa watuHahahah kwa raha zangu. Yani nikiona mtu kabana dreads zake namtamaniaje but sijui kwa nini sijawiwa kulock dreads kama hivyo . BTW napiga sana tu rough dreads
Mmh mbona kunitamanisha teh. Nimenyoa nina kama miezi 15 now. Ni rough dreads na braids tu. Hata hizo braids nalazimisha tu, maana sio kwa kuniwasha ndani tu ya week. So huwa nasuka braids, napunguza Naweka rough dreads hivyo hivyo. Ngoja nione kama ntawiwa, maybe ntakujoin. weaves, Mawigi, kuweka dawa kumeshanishinda, basi tu hugu gubichwa kama panzi teh, nahisi ningenyoa para kabisaaaMie dreads ndo naziweza make kusuka siwezi, weaving wigs nazionaga tu kwa watu
ndiyo nimeongeza za afroking ..Umeongezea means umezishonea rasta zingine kwa juu?
Pole utunzaji wa rasta ni easy sana ujitahidi tu kuhudhuria saloon kurepair na upate mtu anaejua kutengeneza vizuri
Hako ka mchina kako july kwisha kazi yake!!!Shosti picha hazifunguki. Au ni haka kamchina kangu?
Sokota dreads teh ila uwe mvumilivu kwa miezi kadhaa makes hadi zije zilock unaeza tamani kuahirishaMmh mbona kunitamanisha teh. Nimenyoa nina kama miezi 15 now. Ni rough dreads na braids tu. Hata hizo braids nalazimisha tu, maana sio kwa kuniwasha ndani tu ya week. So huwa nasuka braids, napunguza Naweka rough dreads hivyo hivyo. Ngoja nione kama ntawiwa, maybe ntakujoin. weaves, Mawigi, kuweka dawa kumeshanishinda, basi tu hugu gubichwa kama panzi teh, nahisi ningenyoa para kabisaaa
Aaah okay, mi nliambiwa nikisukia afro king eti zitaharibika, nazisuka tu zenyewe stylesndiyo nimeongeza za afroking ..
Hahah will give it a second thoughtSokota dreads teh ila uwe mvumilivu kwa miezi kadhaa makes hadi zije zilock unaeza tamani kuahirisha
sana sio kidogo,dread kwa anae zijui inaonyesha wewe ni msafi kiasi gani,kuanzia usafi wa mwili mpaka roho popote pale wewe ni mtu wakuaminiwa first kabla ya wengine,nadhani saivi ongezeko la wadada wanao sokota dread limekuwa kubwa but hawazitendei haki..!!!dread is too romantic wadadaDreads zinaongeza mvuto
[HASHTAG]#teamnatural[/HASHTAG]
Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lolsana sio kidogo,dread kwa anae zijui inaonyesha wewe ni msafi kiasi gani,kuanzia usafi wa mwili mpaka roho popote pale wewe ni mtu wakuaminiwa first kabla ya wengine,nadhani saivi ongezeko la wadada wanao sokota dread limekuwa kubwa but hawazitendei haki..!!!dread is too romantic wadada