sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,045
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa kumwaga dawa kabla ya mechi, n.k.
kilichofanyika kipindi cha marekebisho wataalam walifika hapo kuitoa, haikua shughuli nyepesi na ilitumia muda mrefu, baada ya kuitoa ndumba ndio hiki tunachoendelea kukiona, Network zimekata !!
TUTAONA MENGI SANA

- Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare
- kwenda uwanja wa karibu wa uhuru haikusaidia , Namungo wakadraw
- Yanga ikajipigia zake hamsa
- Leo tena wamedraw na Asec Mimosa
TUTAONA MENGI SANA