Drama za michepuko ya kudumu misibani

Drama za michepuko ya kudumu misibani

Hakuna kitu kibaya kama utegemezi, unakufunga uhuru wako kabisa.

Sasa ukute mchepuko ana watoto, hana kazi wala nini, lazima afuate masharti yote anayopewa.

Afu hivi michepuko nayo huwa inataka urithi? Hata kama haijulikani? Sijajua sheria zikoje hapa.

Maana hata kwa customary law, kuna jinsi ya mtoto kutambuliwa/shwa rasmi, huyo anaweza kufikiriwa kurithi.
Sheria za kimila zina tofauti...
wahaya mtoto anayetambulika ni yule ambaye baba akiwa hai alimleta nyumbani wakamjua...

Nina wifi yangu alizaa na jamaa mmoja wa kihaya..
Jamaa alikuwa na pesa ndefu afu wifi akapitiwa na kuzaa juu...
Huyu baba alikuwa jirani na kwa mume wangu; wifi alikuja kukaa kwa kina mume wangu kwa muda (mtoto wa mama yao mkubwa)...na akapata mimba...
Halikataa kusema ni ya nani...
Ila baadae ndugu walijua...
Lakini yule mtoto hakuwai kupelekwa kwa baba yake rasmi...

SIku yule baba kafa waliishia kwenda msibani mtoto na mama yake...

Hakupewa hata thumni...mila za Kihaya hazitambui mtoto anayejitokeza mzazi akifa...

HUyu wifi yangu aliolewa lakini...tena na muhaya...labda ndio maana hakuona umuhimu wa kumpeleka mtoto kwa baba yake kwani mumewe alikubali kuishi na mtoto kama wake...

Ila baba halisi wa mtoto alikuwa tajiri mkubwa Mwanza...labda naye (mtoto)angepata mtaji...
 
Same old stories michango mingi imeangukia kwenye Mali.
Dah! Wanadamu ni kazi , hasa wanawake.
 
Mimi ningeenda lakini sio kwa kujishaua, mazishi yakiisha wakati wa vikao vya familia kuwaonyesha watoto kwao. Kama ntapata mgao sawa nisipopata siwezi kulazimisha ni kuanza kujipanga upya tu.

Cha msingi ni kutoa ushahidi wa ndoa, na ushahidi sio watoto, kama ndoa ina mkataba au mashahidi wawili pamoja na shekh ushahidi wake,hapo mchepuko atatambulika kwa familia bila ya hivyo, wrong place
 
Sheria za kimila zina tofauti...
wahaya mtoto anayetambulika ni yule ambaye baba akiwa hai alimleta nyumbani wakamjua...

Nina wifi yangu alizaa na jamaa mmoja wa kihaya..
Jamaa alikuwa na pesa ndefu afu wifi akapitiwa na kuzaa juu...
Huyu baba alikuwa jirani na kwa mume wangu; wifi alikuja kukaa kwa kina mume wangu kwa muda (mtoto wa mama yao mkubwa)...na akapata mimba...
Halikataa kusema ni ya nani...
Ila baadae ndugu walijua...
Lakini yule mtoto hakuwai kupelekwa kwa baba yake rasmi...

SIku yule baba kafa waliishia kwenda msibani mtoto na mama yake...

Hakupewa hata thumni...mila za Kihaya hazitambui mtoto anayejitokeza mzazi akifa...

HUyu wifi yangu aliolewa lakini...tena na muhaya...labda ndio maana hakuona umuhimu wa kumpeleka mtoto kwa baba yake kwani mumewe alikubali kuishi na mtoto kama wake...

Ila baba halisi wa mtoto alikuwa tajiri mkubwa Mwanza...labda naye (mtoto)angepata mtaji...

Sisi waislamu tunamtambua mtoto alie zaliwa katika ndoa,or mtoto alie zaliwa baada ya ndoa,na sio kabla ya ndoa. Haijalishi kama mchepuko alie fanya siri na kuibuka, cha msingi hapo tunaangalia ndoa, mashahidi wa ndoa.
 
Same old stories michango mingi imeangukia kwenye Mali.
Dah! Wanadamu ni kazi , hasa wanawake.

Kumbe umewaza kama mimi! Kumbe mali ndizo zinazowaweka wanawake wengi kwenye ndoa!
Ni mali, pesa, assets nothing more!
 
Sisi waislamu tunamtambua mtoto alie zaliwa katika ndoa,or mtoto alie zaliwa baada ya ndoa,na sio kabla ya ndoa. Haijalishi kama mchepuko alie fanya siri na kuibuka, cha msingi hapo kibaangalia ndoa, mashahidi wa ndoa.

Yes...waislamu najua kabisa huyo ni mwanaharamu...
Nililijua hilo baada ya jirani yangu kufa...
Mtoto wake alikataliwa kurithi japo alikuwa ni wa huyu baba ila alimzaa kabla hajafunga ndoa na huyo mkewe...
Yani baba na mama yake walikuwa na ndoa ila yeye ni mwana haramu kwani walifunga ndoa baada ya kumzaa...

Ndio nikajua Uislamu si mchezo...
 
Kumbe umewaza kama mimi! Kumbe mali ndizo zinazowaweka wanawake wengi kwenye ndoa!
Ni mali, pesa, assets nothing more!

Sasa wewe unadhani uki resti in pici kinachofuata ni nini kama una watoto kila kona?
That is a reality...mali ni kitu muhimu ndio maana kuna mirathi...unless nyie mnaishi dunia nyingine...
 
Hakuna kitu kibaya kama utegemezi, unakufunga uhuru wako kabisa. Sasa ukute mchepuko ana watoto, hana kazi wala nini, lazima afuate masharti yote anayopewa. Afu hivi michepuko nayo huwa inataka urithi? Hata kama haijulikani? Sijajua sheria zikoje hapa. Maana hata kwa customary law, kuna jinsi ya mtoto kutambuliwa/shwa rasmi, huyo anaweza kufikiriwa kurithi.

the law of succession iko clear.may be in case of interstate
 
Inawezekana mke mkubwa alikua anajua ila akaleta jeuri tu na ndugu wa mume wakamfungia vioo.
Yapo sana haya.

Hayo pia yapo sana...hasa kama small house ilikuwa inaleta ngebe wakati marehemu yuko hai...
Unakuta mke na ndugu za mkewe wanakauka kama hawamjui...
 
MPAAE=nyumba kubwa;11202936]KUna ndugu yangu alikuja kujua mumewe alizaa baada ya mumewe kufa...

Cha ajabu yule mtoto wa nje ni mtoto wa ujanani...ni mkubwa zaidi ya watoto wa huyu ndugu yangu...

Tulishindwa kushangaa kwa nini shemeji alimficha huyu mtoto?
Na kwa nini huyu mtoto alisubiri mpaka siku baba kafa ndo amejitokeza.?

Ukimuangalia carbon copy hakuna haja ya DNA...

Lakini huyu ndugu yangu alimwambia huyu mdada (mtoto wa mumewe)...karibu anytime...hawa ndo wadogo zako...

Lakini kwenye urithi hakuambulia kitu...maana hata babake hakum mention...

Wanaume ni wa ajabu

Ameishi na mkewe karibu miaka 20 na hajawai kumwambia alizaa kabla ya kumuoa...[/QUOTE]

Live longer pdidy

Mpwaa
 
Akati mwingine inasaidia kupunguza uchungu wa kufiwa...
Unapata reason ya kumchukia marehemu...
Maana hata machozi yanaweza kugoma aisee...

Kuna baba wa rafiki zetu alipata ajali akiwa na malaya kwenye gari...wote wakafa...walikuwa wamelewa chakari...akauvaa mti

Mkewe hakutoa hata chozi....alikuwa anasonya tu msibani...naona anatamani wasingekufa wampe majibu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna msiba fulani tulishuudia mdada analia kupita wafiwa...kila mtu alikuwa anataka kujua uhusiano wake na marehemu...

Maana si ndugu waka mke aliyekuwa anamjua huyo mdada...

Ila yeye hakutaka kusema kilichokuwa kinamliza...lakini minong'ono sasa...unasikia huyu lazima awe small house...

Mbaya sasa jamaa alikuwa kafa na ngoma...
Tobaaaa
 
Back
Top Bottom