Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Ni kupita kimya kimya kuaga na kuondoka, walau kumtunzia marehemu heshima yake ya mwisho.Hamjasema lakini mngefanya nini kama ungekuwa mchepuko ukakakutwa na haya.
Kama kwa miaka 19, umeshindwa julikana na kukabidhiwa chako mapema, msibani ni kujiumbua tu.