philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Watu wa mziki tusaidiane kidogo labda mnaweza kunielewesha na nikaelewa zaidi.
Mara nyingi kila nikikutana na battle nani mkali kati ya Drake na Kendrick Lamar comment nyingi huwa zinakuwa kwa Kendrick Lamar.
Kwamba Kendrick Lamar ni zaidi ya Drake. Najiuliza how?
Kwa sababu namuona Drake anafanya vizuri zaidi akitoa Album zake zinasumbua sana kama Views,Scorpion n.k
Drake zile charts za Billboard anachezea kila akiachi ngoma zake.
Kwenye Spotify ndio kabisaa ngoma kama God Plan au One Dance zinazaidi ya Streaming bilion 1.6
Why Kendrick Lamar ni zaidi ya Drake? Au Drake hafanyi Hip Hop???