Drake Vs Kendrick Lamar

Hakuna ngoma naikubali ya Kendric kama ALRIGHT -
When our pride was low
Lookin' at the world like, "Where do we go, nigga?"
And we hate po-po
Wanna kill us dead in the street for sure, nigga
I'm at the preacher's door
My knees gettin' weak and my gun might blow

Drake - Started from the bottom , https://jamii.app/JFUserGuide fake friend where re my real friends at
Hotline bling - huu nauimba wote kama ulivyo

nilichogundua Kendric anaimba hiphop ngumu mtu inabidi utulie uelewe, Drake anaimba vitu vyepesi music unaotrend ambavyo kila mtu anaskiza siku moja kashakariri mistari yote na hiki ndio kinampa ukubwa na wimbo una break thru everywhere.
Mkali wa hiphop atakua kendric , Fame ya watu wote anayo Drake
 
Hakuna ngoma naikubali ya Kendric kama ALRIGHT -
When our pride was low
Lookin' at the world like, "Where do we go, nigga?"
And we hate po-po
Wanna kill us dead in the street for sure, nigga
I'm at the preacher's door
My knees gettin' weak and my gun might blow

Drake - Started from the bottom , **** fake friend where re my real friends at

Kama nimeelewa hivi
 
Ni kweli unaipenda aisee, ni mara ya pili naona unaizungumzia.
 
Drake hana msanij wa kufananishwa nae kwa Decade iliyoisha,anaongoza karibia kila kitu,,Drake ana impact kwao kuliko unavyodhani,,alaf Drake sio Mmarekani kumbuka,,lakini pia kinachopendwa na wengi ndo kizuri...mjamaa kashavunja record nyingi mno,ni jambo la kuheshimu sana,,,ila Kendrick ni mzuri sana kwenye kuielezea jamii na matatizo yake,Ken ni mkali ki'Lyrics na Metaphor kuliko Dreeze...
We gonna be Alright Gods plan
 
Sasa unaleta ugumu wakati mwenzio anapiga hela kwa mauzo na fan base kubwa?? Dunia ya sasa unacheza na kipi kinalipa hata kwa muda mfupi kuliko kipi kitaishi masikioni muda mrf halafu mkwanja wa kubip.
 
Back
Top Bottom