Drake Vs Kendrick Lamar

Yaani hivi si wataka Drake alie tu, wamfananisha na Kendrick Lamar jamani, si utani huu.
Hapo kwa Kendrick ni parefu, hata kina YG, Big Sean, Chance the rapper, Jack harlow,Joyner Lucas na Logic.... Tena bado hafiki hata robo kwao hawa wote.

Drake mfananishe na kina young boy, Lil Uzi vert, future 🤣🤣🤣
 
Binafsi, napendezwa na uimbaji wa Drake. Lakini uandishi wa Lamar is a true defn ya Hiphop.
 
Back
Top Bottom