Dragons: Je, waliwahi kuwepo kweli? Na je, ndiye yule mnyama aliyezungumzwa kwenye Biblia?

Kama umewahi sikiliza simulizi ya bwana mmoja anaitwa zabron anaesimulia jinsi alivyopelekwa na kufanikiwa kutoroka kijiji cha kichawi gamboshi.....katika simulizi hiyo nzuri inayoelezea mambo mengi juu ya ulimwengu wa Giza tusioweza kuuona kwa macho haya ya nyama...zabron anakiri kukutana na myama kama huyu anaetema moto macho ni motooo,mkubwaaaa na ana vichwa vitano
 
Aisee kwahyo huyo bwana Zabron Simulizi yake ni ya Nyakati hizi

Kwa maana kun uwezekano wa viumbe hivi kuwepo katika Mazingira ambayo sio yetu
 
Acha upotoshaj ayubu sura ya 41 yote kuanzia msitar wa kwanza anamtaja MAMBA NA SIFA ZAKE NA SIO DRAGON
 
Mamba anatema cheche? Biblia ya kiingereza inamuita Leviathan ambaye ni sort of Dragon kma tu wa Rev 12 .....

Kma ni mamba basi ni Behemoth.... Ambaye wengi wanamfananisha na Dinasour ama wale vifaru wa zamani walikua size ya tembo!!

But mamba ni kituko mbele ya Dragon na Behemoth
 
shukraani mkuu kwa kuja
 
Back
Top Bottom