Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,505
- 124,303
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
Mbona hili sio spanish
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
Sijakusoma mi huwa natumia hilo, kwa taifa la Tz na Brazil so sijui unamaana gani?Mbona hili sio spanish
Kwenye Dalmax checkers moves za king ziko limited...Mimi nacheza all-in-one checkers ya Pavel Porvatov na Checkers inayoendana na ya bongo ni ya Czech...Kuna difficulty level tofauti hadi professional level japo sometimes kuna moves anakulazimisha.
Umechagua Tanzania mkuu?Kwenye Dalmax checkers moves za king ziko limited...Mimi nacheza all-in-one checkers ya Pavel Porvatov na Checkers inayoendana na ya bongo ni ya Czech...Kuna difficulty level tofauti hadi professional level japo sometimes kuna moves anakulazimisha.
Nimeiona mkuu.Dalmax Kuna Tanzania humo.
Ni vile vile tunavocheza Bongo.
Nimeiona mkuu.
Mkuu kila ukimshinda we tuma screen shot inatoshaMi Nishasema Dalmax ni level ya kawaida sana kwenye mabao.siri ya Dalmax wengi awajui, Dalmax yeye aliye-mprogram inaonekana michezo ya pembeni inampa sana shida.Dalmax ukimpelekea copy za pembeni basi una asilimia kubwa ya kumfunga au kutoa sare tofauti ukimpelekea kati basi wewe una asilimia ndogo ya kutoa sare au kufunga.
Dalmax ukimpelekea michezo ya kati inatakiwa uwe bingwa sana ndo uweze kuchomoka maana mabingwa walifanya utafiti wa michezo ya kati wakagundua kuwa kati hamna goli la lazima labda mtu hakosee, ila pembeni kuna magoli ya lazima.ili uweze kumfunga Dalmax unatakiwa ujue vigoma vingi vya pembeni kama alivyokuwa anacheza marehemu mchafu.
Kama unataka kuona mapungufu ya Dalmax nitumie namba yako ya whatsapp pm nikutumie video nilizokuwa nacheza nae, nikiwa namfunga au sale anakimbia yeye
Ukimfunga tupe mrejesho
Huwezi amini nimeshindwa kutoa hata draw. Nipe tips kidogoNyingine tenaView attachment 1589520
Huwezi amini nimeshindwa kutoa hata draw. Nipe tips kidogo



unashindwaje kutoa sare ndugu?Utakua unalijua sana draft, mi draw labda baada ya game 10 naaaunashindwaje kutoa sare ndugu?