Drafti aka Checkers au Draughts

Drafti aka Checkers au Draughts

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,411
Reaction score
13,779
Wadau wa drafti natafuta app ya drafti ambalo litakua gumu kushinda ambalo ni offline.

Kila ninalo jaribu kudownload ama nakuta jepesi kweli hata kwenye difficulty level au nakuta halina settings za drafti letu tuliozoea la kibongo bongo

Share uzoefu wako hapa wadau
 
Dalmax ni funga kazi ni gumu sana, hasa uki set ugumu 100%
Mi nampa sale huyo Dalmax, ni mzuri ila tatizo lake hawezi kopy za pembeni. Ukitaka kumfunga kwa wepesi basi muanzishie copy za pembeni.
 
Mi nampa sale huyo Dalmax, ni mzuri ila tatizo lake hawezi kopy za pembeni. Ukitaka kumfunga kwa wepesi basi muanzishie copy za pembeni.
Mkuu mi amenishinda kwenye level 100 aisee
Hebu tupia ka screen shot nione kama kweli anafungika kwenye 100%
 
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
 
Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.

Mimi naomba kuuliza tu.

Mm nacheza la biginers mbona kingi wangu akiingia nikitaka nimvushe kwenye vyumba vingi ile atue chumba labda cha nne haikubali ?
Kwa nini hii ?

Napenda sana draft
 
Mimi naomba kuuliza tu.

Mm nacheza la biginers mbona kingi wangu akiingia nikitaka nimvushe kwenye vyumba vingi ile atue chumba labda cha nne haikubali ?
Kwa nini hii ?

Napenda sana draft
Inategemea na taifa ulilochagua, jaribu Brazil ndiyo ina uhuru mwingi.
 
Dalmax ni nyoko asee. Sijawai mpiga kwenye 100
Nime mbahatisha mara moja tu na draw chache

Ila vipigo ni mwanzo mwisho
Alinimaliza kabisa alipo nifunga kwa 3 😃😃
Itoshe kusema Delmax anajua
 
Mimi naomba kuuliza tu.

Mm nacheza la biginers mbona kingi wangu akiingia nikitaka nimvushe kwenye vyumba vingi ile atue chumba labda cha nne haikubali ?
Kwa nini hii ?

Napenda sana draft
Hakikisha umechagua Tanzania
 
Back
Top Bottom