Wakuu ninilikua na enjoy sana game la “Drafti” kwenye Android
Game la Checkers by Dalmax lilikua lina sheria za kibongo
Sasa kwenye iOs kila game ninaloshusha nakuta halina sheria kama tunazotumia bongo
Tafadhali kama unajua game la drafti kwenye ios na lina sheria za kibongo share nami hapa