OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,176
- 103,656
- Thread starter
- #361
Naona disco limevamiwa na Mmasai
hebu fafanua kidogo mkuu .Naona disco limevamiwa na Mmasai
Mkuu,Naona disco limevamiwa na Mmasai
Ukimaliza kuisoma unaweza kupitia hapa,
Hizi ndizo siasa za Tanzania!
Dr. Slaa ndiye Rais ajaye!!
daaah mkuu hatari hii, nashindwa hata nisimame upande gani, anyway ngoja tuone mwisho wakeMkuu,
Unaikumbuka hii thread yako!
Ukimaliza kuisoma unaweza kupitia hapa,
Hizi ndizo siasa za Tanzania!
wakati mwingine unapotaka kushinda vita unamtumia mateka aliyekamatwa kwenye sekeseke la kutupiana risasi .daaah mkuu hatari hii, nashindwa hata nisimame upande gani, anyway ngoja tuone mwisho wake
wakati mwingine unapotaka kushinda vita unamtumia mateka aliyekamatwa kwenye sekeseke la kutupiana risasi .
Hatima ya watanzania iko mikononi mwa Dr slaa.
Hakuna gamba linaloweza kufika hata robo ya Dr.Slaa.Hawana mgombea,walichobakisha ni kutumia dola kutupokonya ushindi
Ni jinsi gani ulichokakiamini hukukiishiThe rise and fall of Dr.Mihogo
OteaMkuu ukisoma comment yako hii unajisika vipi?
U trust your wife,u don't believe she can cheat,she deserves however one year after she became awful and any man with papers can https://jamii.app/JFUserGuide her,will you keep trust that girl?juu ni mfano tuNi jinsi gani ulichokakiamini hukukiishi
U trust your wife,u don't believe she can cheat,she deserves however one year after she became awful and any man with papers can **** her,will you keep trust that girl?juu ni mfano tu
You know what went wrongMaskini... ndio yamegeuka hivyo tena?