Hatimaye katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa kesho ataanza rasmi kuhudhuria vikao vya chama ambapo atahudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema.
Kuonekana kwa Dr. Slaa kesho kutamaliza rasmi mjadala wa muda mrefu na propaganda zilizotawala eti Dr. Slaa kajitoa Chadema.
Katika hatua nyingine, upigwaji wa kura za maoni katika jimbo la Kibamba kwa watia nia wa Chadema utafanyika kesho baada ya mtia nia John Mnyika kupata nafua kutokana na kusumbuliwa na homa kwa muda.
Habari na G Sam
Mnyika hali tete wala si kuumwa. Pia hiyo taarifa ya Slaa unajidanganya tu.