Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Nimezungumza na Dr. Slaa jioni anasema huo ni uzushi. Hajajiuzulu wala walatoki Chadema. Mkewe alipokea simu na kugomba
 
Nimeangalia post zako za nyuma hujawai kuwa mfuasi wa Dr wala Ukawa.
Ufuasi haupo tu kwenye comment mkuu..... upo katika nyanja nyingi ikiwa ni fikra, mawazo, msimamo nk. Pia, katika siasa masaa 24 ni mengi sana kutokea mabadiliko hivyo hata hii inaweza kuwa ni comment yangu ya kwanza kuonesha mabadiliko.
 
Kwa hali ilivyo CHADEMA sasa hivi chama ni bora kuliko mtu yeyote na hakuna maarufu kuliko CHADEMA hivyo hata taarifa hii ikiwa kweli CHADEMA itabaki kama ilivyo sasa, hii ni sawa na ilivyo sasa MAN UNITED kumuuza Vanpas na kumnunua Ronaldo
 

Tuweke akiba....tukumbuke mapito.....tusubiri uhakika wa taarifa hizi.....
 
Duh hii kali, usiku!! Anatoroka nchini au!?
CHADEMA wamewatenda vibaya CCM wamebaki kupiga ramli tu.
Hiyo inaitwa 'Snake in the Monkey Shadow' unasogezewa mkono, una concetrate halafu unapojaribu kuusogelea ili kuugonga, unajikuta umekula bonge la kwenzi kutoka mkono mwingine.
 
Kuna watu wamekaa kusumbua akili za watanzania Jana tumeambiwa kigunge naye kamsima Lowasa Leo wengine hao
 
Asante sana strategists wa Chadema kwa hii movie, kwa leo niishie hapo.
 
Manyerere Jackton ujicommit hapa kwa kuchagua adhabu endapo haitatokea.Naprefer upewe Ban hata ya mwezi mzima sio mbaya
 
Ndugu zangu msiwe watu wa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa,nyie ni watu wa kukibali tu kila lisemwalo. Mtafanyiwa maamzi magumu nyie wenyewe
 
Chagua adhabu ya kueleweka kama unajiamini ata life ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…