Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Kwani katika lile fungu mlimpa ngapi? Maana leo lissu kaongezwa akajitokeza.
 

Umeona eeh? Damu ya mwangosi,josephine,lema hata mwenye chama mtei ashakula bomu la machozi pale kempinski leo anaingia hata kwemye vikao vya kahawa vya chadema hajawahi kuhudhuria anapewa ugombea urais tena bila mpinzani.nina wasi wasi sana na uwezo wa kufikiri wa viongozi wa chadema
 
Kwanini ayafanye hayo usiku? Ofisi gani inafanya kazi usiku? kwani imekuwa kituo cha polisi?
 
Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni.
Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!
 
​Ngoja tusubiri tuone.....kama ni kweli sijui SISIEM watakuwa wamempa sh. ngapi nae
 

Mkuu asipofanya hivyo utakuwa umejidharirisha mno
 
Nyie ni wale mkikaa mnaangalia 'movie' unakua unatafsiri matukio, ....."ona Rambo atamchapa kofi, subiri utaona.....!" Kwa nini msiache vitetesi, mtuache tuipate hiyo 'sapraizi' live????!!!!
 
Aisee! Yawezekana ni kweli. Slaa yupo nchini tena nyumbani kwake na haumwi, kwann hajahudhuri hata hafla 1 ya LOWASA?
 
kwa jinsi ninavyomfahamu Dr Slaa kamwe hawezi kuchukua hatua za kuondoka Chadema eti kwa sababu hatagombea Urais
acheni kumpakazia hasa wewe Manyerere Jackton wewe ni mtu usiye eleweka misimamo yako,kaa mbali na process zote zinazoendelea kwenye nchi yetu hufai hata kidogo kuwa mtoa taarifa za muhimu
Dr Slaa siyo mtu mjinga kiasi hicho ni mtu smart nimekuwa naye karibu kwa muda mrefu na namwamini sana
 
Bora, ana heshima zake huyu,Mimi nimeondoka toka juzi.Tunabaki hivi hivi.Manyerere alianza kusema Laigwanani anatoka na akatoka!!!!:doh:😛ainkiller:
 
Dr Slaa hawezi kuodoka Chadema hata Kama mtajaribu kumnunua kwa mabilioni.
Dr Slaa si mroho Wa vyeo kiasi kwamba asipopewa nafasi ya kugombea urais ndio aondoke kwenye Chama!

Mkuu kuondoka dr slaa sio uroho wa madaraka ni kusimamia kile anachokiamini,
hawezi kula matapishi.
dr yuko vizuri.
 
Lowasa hapati hata asilimia 30 ya kura bila Dr Slaa.... Jamani msimamo wa Dr Slaa unaweza kutoa hatma ya uchaguzi wa october... mark my word
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…