Hawa EATV wana matangazo mengi na yanachukua muda kweli. Mtu akifungulia TV akakutana na matangazo unaweza kudhani Dr. Slaa hayupo, ila bado yupo.Saa 11 jioni mpaka saa moja jioni na sasa hivi saa 11 na dakika 45 jioni yupo hewani EATV
Naona kila masiku yanapozikwenda Dr Slaa anazidi kuporomoka kisiasa ni aibu Dr Slaa kwenda kuhojiwa kwenye kipindi cha Hotmix, kipindi cha bongo movie.
wewe ni mbumbumbu!
Ritz hicho kipindi kinaangaliwa zaidi na vijana aged between 16years - 26years hivyo kwa maana nyingine inakuwa ni njia pia ya kuwafikia vijana ambao muda mwingi wanasikiliza na kuangalia tv za entertainment, hii si kwa Dr Slaa bali hata kwa issue zingine za kitaifawewe ni mbumbumbu!
dr ni mtu hatari sana anaewaumizia vichwa ccm kila siku. bado anastahil kuwa raisi
Mbona Dkt haonekani kwenye EATV? Kulikoni?
niko hapa nasubiri update yako....
Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Ritz hicho kipindi kinaangaliwa zaidi na vijana aged between 16years - 26years hivyo kwa maana nyingine inakuwa ni njia pia ya kuwafikia vijana ambao muda mwingi wanasikiliza na kuangalia tv za entertainment, hii si kwa Dr Slaa bali hata kwa issue zingine za kitaifa
chadema wao, ccm wanaposema wamejenga na wanaendelea kujenga barabara, chadema wanawauliza; suala si kujenga barabara. hela wamepata wapi? sasa kwa kuwa ni misaada kwa kiwango flani; basi wanaanza kuponda.ndo maana nikauliza hilo swali.Hakuna nchi hata moja ya Afrika ambayo haipokei misaada toka nje mkuu. Labda ni misaada ya aina gani, kwa masharti gani, na kwa ajili ya nini.
mimi naangalia tv. matangazo mengi so hawampi nafasi ya kumaliza sentesi. wangempa mda wa kutosha but bado anaendelea hadi saa moja. ntawajuza ntakayo fanikiwa kuandika. mia
Kama anamiliki na kuilipia kadi ya CCM au kama ni Uzushi wa Nape.