Dr Tulia:Tusimame na Tanzania yetu

Yaani nime soma hapo ---nikaona eti huyo Dr .Tulia ana PHD. .Nimeona hata aibu ''kutamka kuwa ana PHD----yaani msomi wa ngazi ya PHD ndio anakuwa na maamuzi ya double standard kama hayo ya kipuuzi. ....Aibu kubwa sana. .CCM na watu wake wanaifanya elimu ya hili taifa ionekane kuwa ni Elimu kichaa
wenye elimu ya ngazi hiyo tz na wakapewa madaraka elimu zao huzificha kwenye droo na kuivaa elimu ya darasa la saba hovyo sana.
 
Laiti mngelijua hio Phd yake ni ya nini mngeshangaa huyu mama amebobea kwenye sheria za ustawi wa jamii na mirathi hahahaha hana tofauti na jamaa mtoa macho aliebobea kwenye sheria za familia hahaha
haajaaa kumbe sheria za ustawi wa jamii na mirathi aisee ndio hao manyumbu wa Lumumba akasem eti Lissu kapata kiboko yake maviiiii
 
Hizo comments za kushambulia utu wa mtu siyo ustaarabu. Siasa zisitufikishe kutukana na kukashifu. Unataka afanye nini? Kwa mfano mimi nina makengeza pia kisiasa tuko pande tofauti na wewe je! Ni makengeza yangu yaliyo nifanya nipende upande ambao wewe hupendi? Na nikibadirika nikaunga mkono upande wako, makengeza yangu yataisha? Comment kistaarabu.
acha hizo mbona yeye anakuwa katili kuliko hata idd amin, anayoyafanya unadhani anayefanyiwa anafurahi? unajua anaumizwa kwa kiasi gani? acha hizo, lina sura mbaya kama mimi
 
TUSIMAME NA TANZANIA YETU.
#Mkakati wa Dr.Tulia utapita .

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linazidi kuwa #dhaifu kutokana na Aina ya Uongozi uliopo.Nani anapinga kwa Matendo tunayoendelea kushuhudia Mjengoni?.

Sekta yoyote ili iweze kuwa na Nguvu, sharti ipate Uongozi Imara, usioyumba au kubagua baadhi ya walengwa wake.

Bunge letu limekuwa na #Ubaguzi wa wazi wazi ambao kimsingi ni kutugawa Watanzania.. Hakuna asiyejua Naibu Spika Mh. Tulia Ackson yupo Mjengpni kwa Mkakati wa kuua Upinzani.

Tukio la kuwatoa nje ya Bunge,Wabunge wa Upinzani Mh. Ester Matiko, Tarime Mjini, Mh. John Heche, Tarime vijijini na Dr. Emmaculate Sware, viti Maalum ni kielelezo tosha.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mh. Augustine Vuma ,amechana Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni tena hadharani, iweje baada ya Wapinzani kuhoji watolewe nje?.

Kimsingi, Mbunge au Waziri anaposimama mbele ya Bunge na kuomba kuwasilisha Hotuba iwe ya serikali au Upinzani, hiyo Tayari ni Mali ya Bunge.

Kwa maana nyingine huyu #Mbunge Kilaza amechana Documents za Bunge na sio za #Upinzani,hali hii inapaswa kukemewa na wapenda Maendeleo wote wa nchi yetu.

Je, Naibu Spika hakuona hii dharau ya huyu Mbunge ambaye ninashindwa kuelewa ufahamu wake kama amelichafua Bunge letu?. Itikadi zinawasaidia nini katika Uwakilishi wa wananchi?.

Mh. Naibu Spika ameona Kelele za Matiko, Heche na Sware tu?. Huyu Mpuuzi akamuacha kuendelea kukidhalilisha Kiti cha Bunge?.

Mlipofikia ccm, ipo Siku mtajaribu kutugawa #Kimajimbo, nyie ccm Jimbo lenu lile pale na nyie Upinzani, Jimbo lenu lile kule.. Mungu atusimamie.

Dr. Tulia, heshima ya PhD yako ni kubwa na muhimu katika Jamii kuliko Cheo, punguza Ukiritimba wa wazi wazi.Heshima ya Bunge inaendelea kushuka kutokana na Tabia za Kiti cha Bunge.

Ajabu mmekutana watu wawili kama Mapacha.. Mh. Ndugai hakemei, yupo busy na kuangamiza Upinzani na Dr. Tulia ndio unatimiza #Mkakati uliokupeleka Bungeni.

Mnaona shida gani Watanzania wenzetu hata kama ni Wapinzani kufaidi Keki ya Taifa?. Bunge limekuwa la Vichaa na Vilaza.

Elimu zenu mnazitumia kugandamiza baadhi ya Watanzania badala ya kuzitumia kwa Faida ya Jamii bila Ubaguzi.. Au ndio hizo za #MAJALALANI?.

Bunge letu limepoteza sifa ya kuitwa Bunge la Taifa.. Bila kupepesa Macho nalitambua kama Bunge la ccm.. Mungu Ibariki Tanzania.

Kila Jambo lina mwisho wake.Hata #Fisi kuna Mifupa mingine huiogopa. Pandeni visasi..

Naitwa #Matiko.

View attachment 1131551
View attachment 1131552

View attachment 1131553
Tulia Ackson ni mpuuzi sana!
 
Hizo comments za kushambulia utu wa mtu siyo ustaarabu. Siasa zisitufikishe kutukana na kukashifu. Unataka afanye nini? Kwa mfano mimi nina makengeza pia kisiasa tuko pande tofauti na wewe je! Ni makengeza yangu yaliyo nifanya nipende upande ambao wewe hupendi? Na nikibadirika nikaunga mkono upande wako, makengeza yangu yataisha? Comment kistaarabu.
CCM inavutia zaidi watu wenye sura mbaya kama Tulia, period.
 
haajaaa kumbe sheria za ustawi wa jamii na mirathi aisee ndio hao manyumbu wa Lumumba akasem eti Lissu kapata kiboko yake maviiiii
Yani hawa wamama hawamuwezi lissu hata kidogo maana lissu yeye amebobea kwenye Litigation - maswala ya mashtaka na mahakamani sasa hawa wengi wao walikua wakufunzi tu vyuoni ndo maana ukiwasikiliza wamejaa viburi vya kujiona wao bora..cheki yule alietoka jalalani juzi alitoa sentensi "mimi nimefundishwa masomo mengi na kuanzosha masomo mengi kuliko mwalimu yeyote yule" hahaha kwaio sasa kama umefundisha hayo mengi sisi tufanyaje?
 
TUSIMAME NA TANZANIA YETU.
#Mkakati wa Dr.Tulia utapita .

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linazidi kuwa #dhaifu kutokana na Aina ya Uongozi uliopo.Nani anapinga kwa Matendo tunayoendelea kushuhudia Mjengoni?.

Sekta yoyote ili iweze kuwa na Nguvu, sharti ipate Uongozi Imara, usioyumba au kubagua baadhi ya walengwa wake.

Bunge letu limekuwa na #Ubaguzi wa wazi wazi ambao kimsingi ni kutugawa Watanzania.. Hakuna asiyejua Naibu Spika Mh. Tulia Ackson yupo Mjengpni kwa Mkakati wa kuua Upinzani.

Tukio la kuwatoa nje ya Bunge,Wabunge wa Upinzani Mh. Ester Matiko, Tarime Mjini, Mh. John Heche, Tarime vijijini na Dr. Emmaculate Sware, viti Maalum ni kielelezo tosha.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mh. Augustine Vuma ,amechana Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni tena hadharani, iweje baada ya Wapinzani kuhoji watolewe nje?.

Kimsingi, Mbunge au Waziri anaposimama mbele ya Bunge na kuomba kuwasilisha Hotuba iwe ya serikali au Upinzani, hiyo Tayari ni Mali ya Bunge.

Kwa maana nyingine huyu #Mbunge Kilaza amechana Documents za Bunge na sio za #Upinzani,hali hii inapaswa kukemewa na wapenda Maendeleo wote wa nchi yetu.

Je, Naibu Spika hakuona hii dharau ya huyu Mbunge ambaye ninashindwa kuelewa ufahamu wake kama amelichafua Bunge letu?. Itikadi zinawasaidia nini katika Uwakilishi wa wananchi?.

Mh. Naibu Spika ameona Kelele za Matiko, Heche na Sware tu?. Huyu Mpuuzi akamuacha kuendelea kukidhalilisha Kiti cha Bunge?.

Mlipofikia ccm, ipo Siku mtajaribu kutugawa #Kimajimbo, nyie ccm Jimbo lenu lile pale na nyie Upinzani, Jimbo lenu lile kule.. Mungu atusimamie.

Dr. Tulia, heshima ya PhD yako ni kubwa na muhimu katika Jamii kuliko Cheo, punguza Ukiritimba wa wazi wazi.Heshima ya Bunge inaendelea kushuka kutokana na Tabia za Kiti cha Bunge.

Ajabu mmekutana watu wawili kama Mapacha.. Mh. Ndugai hakemei, yupo busy na kuangamiza Upinzani na Dr. Tulia ndio unatimiza #Mkakati uliokupeleka Bungeni.

Mnaona shida gani Watanzania wenzetu hata kama ni Wapinzani kufaidi Keki ya Taifa?. Bunge limekuwa la Vichaa na Vilaza.

Elimu zenu mnazitumia kugandamiza baadhi ya Watanzania badala ya kuzitumia kwa Faida ya Jamii bila Ubaguzi.. Au ndio hizo za #MAJALALANI?.

Bunge letu limepoteza sifa ya kuitwa Bunge la Taifa.. Bila kupepesa Macho nalitambua kama Bunge la ccm.. Mungu Ibariki Tanzania.

Kila Jambo lina mwisho wake.Hata #Fisi kuna Mifupa mingine huiogopa. Pandeni visasi..

Naitwa #Matiko.

View attachment 1131551
View attachment 1131552

View attachment 1131553

ukiwa kiongozi wa serekali unatembea na ilani ya chama fisipolisi aka fisim.
tumeona mengi na hili ndilo tatizo
 
Hizo comments za kushambulia utu wa mtu siyo ustaarabu. Siasa zisitufikishe kutukana na kukashifu. Unataka afanye nini? Kwa mfano mimi nina makengeza pia kisiasa tuko pande tofauti na wewe je! Ni makengeza yangu yaliyo nifanya nipende upande ambao wewe hupendi? Na nikibadirika nikaunga mkono upande wako, makengeza yangu yataisha? Comment kistaarabu.

Wewe naye hebu tupishe hko...km tulia ni mkeo kamkaze usk huu aache tabua za ajabu..mwanMke asipokazw anakua ana roho mbya mno..mshishe mkeo mawingu..fwaken
 
Wao wanadhani wamemkomoa mtu kumbe wamejidhalilisha tu......Mtu unapata nafasi ya kua kiongozi kwenye nchi iliyojaaa shida kibao badala yakutumia hiyo nafasi na elimu uliyonayo kuleta mambo chanya kwa faida ya nchi yako na vizazi vijavyo unakaa kupiga porojo zisizo maana nakufanya mambo yaovyo uku ukijitutumua as if kuna jambo la maana umefanya kumbe uozo mtupu.Tuna hasara sana kwakweli.
 
Back
Top Bottom