ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,489
- 89,910
- Thread starter
-
- #61
Be specific unataka kujua maendeleo au? Mojawapo ni hiki hapa ππHivi tulia mbeya amefanya nn.
Upo sahihi but unatekwa na pennies ...unaridhika unaacha ku focus kwenye mambo endelevuBe specific unataka kujua maendeleo au? Mojawapo ni hiki hapa ππ
View: https://youtu.be/wJhMIIHtUjo?si=yeqxHjQ-2lPNgUp9
My Take;Tuoneshe miradi ya Sugu ππ
Ona ambavyo inazidi kudhihirisha unyumbu wako,yaani Mbeya uanze kulinganisha na S.Africa?Jinga babako alimwagia ndani yanayo fanyika mbeya ni madogo kulinganisha na vile inastaili,
Safiri basi nenda hata South utarudi ukaelewa nacho sema
Umekula leo maana huelewi kirahisi
Mambo endelevu ndio mdudu gani wewe nyumbu wa Sugu?Upo sahihi but unatekwa na pennies ...unaridhika unaacha ku focus kwenye mambo endelevu
Tafuta exposure Kisha urudi kuropoka
Mambo endelevu ndio mdudu gani wewe nyumbu wa Sugu?
Kwa mara nyingine umeshindwa kujibu kile ulichokisema mwenyewe π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€£π€£kichaa akikuibia nguo usimkimbize baki
na uzi wako
Uchawa ndio nini? Toa maelezoHii tabia ya uchawa watu wanaiendekeza sana. Huu Uzi unanuka uchawa.
Ile Ile kama ya wapi? ππMbeya ni ileile
Njia nne ndio inajegwa Leo,
Kama huoni baki hivyo hivyo kuwa kipofu,sie tunaona haya ππMbeya itabaki kua ileile tu,
Hua sioni mabadiliko.
Ndio inajengwa awamu ya TuliaNjia nne ndio inajegwa Leo,
Mkuu tumsifie tu kwakua tayar ni mbunge lakn anafanya vtu very slow, Barbara nyingi zimekua rafu,.Ndio inajengwa awamu ya Tulia
Very slow ndio maana yake nini? Kila kitu kinafanywa Kwa Mpango na kutegemeana na watoa Fedha ambao ni Serikali.Mkuu tumsifie tu kwakua tayar ni mbunge lakn anafanya vtu very slow, Barbara nyingi zimekua rafu,.
Barbara inayotoka kabwe hadi ISANGA inaua bajaji zetu, ipo rafu mnoo utazanj hajawahi kua lamii.
Pita kote Barbara ya Meta ni viraka tupu,
Mafiat mpka rufaa ni viraka tu, Barbara hazina mpangilio .
Nafikiri zitarekebishwa hasa kipindi hiki Cha uchaguzi.
Kama unalijua Hilo kwann unamsifia wakati hakuna lililokamilika kwa 99%,Very slow ndio maana yake nini? Kila kitu kinafanywa Kwa Mpango na kutegemeana na watoa Fedha ambao ni Serikali.
Mbunge anatoa pesa wapi? Yeye kazi yake ni kutengeneza connection na kuwasemea watu na ku push.
Hapo Mjini Kuna km 17 za lami via Tactic zinaendelea na ujenzi,Barabara sio madarasa kwamba miezi 6 zitakuwa tayari.
Hapo Mjini Kuna Stendi imeanza ujenzi ,unategemea itakamilika ndani ya mwaka mmja?
Hayo yote yakikamilika Mbeya itakuwa Mpya kabisaa kimiundombinu.
Hakuna Jiji hata Moja hapa Tanzania ambalo limejitosheleza Kwa Barabara Kila sehemu ni Kilio japo Dar na Dom ndio Wana nafuu.
Mbeya inahitaji zaidi ya hizo njia nne kinyero weweKwa mara nyingine umeshindwa kujibu kile ulichokisema mwenyewe π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Muti ya exposure kutoka Kwa madiba imefungasha furushi la makamasi kichwani ππππ
Kazi inaendelea njia 4 hapa π
View: https://youtu.be/UAUyrlZWsQY?si=KyG2yYfn5vvNTIz5
Hili hapa haoijakamilika? ππKama unalijua Hilo kwann unamsifia wakati hakuna lililokamilika kwa 99%,
mbona stendi mpya karibu mikoa yote zimeshakamilika, Nenda Mwanza, Singida, Dodoma, morogoro stendi zao sio zile za toka enziii.
Ila hapa mbeya ni yaleyale ya miaka ilee.
Singida tu inaweza ikawa na Barbara chache zinazokata downtown ila zimenyooka sio hizi za mbeya