Ni beneficial kwa Familia yako na Ukoo wake, kwangu Mimi hana Jipya! Wanyakyusa hatujawahi kuwa wanafiki kamwe! So you better understand this.Nyie wanyakyusa hizo siasa zenu za maji taka ndizo zinazowafanya muendelee kushika mkia. Badala ya kufurahia KWAMBA mmempata mtu influential, pia mwenye networks na exposure, mnaongea MAMBO yasiyo eleweka. Jifunzeni KUTUMIA talents mbalimbali kujiletea maendeleo YENU. Jifunze NAMNA ya kutumia elites, business people, influential people to form a composite team for betterment of area. Siasa za majitaka hazita wafikisha popote.
Ni beneficial kwa Familia yako na Ukoo wake, kwangu Mimi hana Jipya! Wanyakyusa hatujawahi kuwa wanafiki kamwe! So you better understand this.
Ulinikigili ukaja nkafu. Usiamini unachoamini wewe ndio sahihi tu mengine sio. Kasoro yetu ni kuona kuwa mawazo yetu ndio sahihi na bora kuliko wengine. Ulinamanjele🙁🙁🙁🙁Leka ubukonyofu ugwe, see
Huyu mama namchukia sana hasa anavyojifanya kujua zaidi pia sura yake na urefu havinifirahishi zaidi anavyowaonea wabunge wa vyama vingine hasa chadema nikimuona tu kwenye luninga nahamisha channelUlinikigili ukaja nkafu. Usiamini unachoamini wewe ndio sahihi tu mengine sio. Kasoro yetu ni kuona kuwa mawazo yetu ndio sahihi na bora kuliko wengine. Ulinamanjele🙁🙁🙁🙁
wana jamii mnajua kwanini serikali yetu haiwezi kuleta maendeleo au kuendelea?Huyu mama namchukia sana hasa anavyojifanya kujua zaidi pia sura yake na urefu havinifirahishi zaidi anavyowaonea wabunge wa vyama vingine hasa chadema nikimuona tu kwenye luninga nahamisha channel
Tulistuka mapema sana ! Hakika mbinu za ccm ni za kiwango cha chini sana ! Hongera intelijensia ya chademaWakuu natanguliza salamu ,
Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi kikubwa sana , wakazi wengi wa Wilaya hii ni Wanyakyusa , japo kuna makabila mengine.
Tunazo ngoma za asili ambazo kwa uchache ni Mang'oma , Ipenenga , Samba nk , na tumecheza ngoma hizi kwa miaka mingi bila msaada wa hela ama chochote kutoka kwa yeyote , kama kuna aliyetoa chochote basi alitoa kama vile PDG Ndama Mutoto wa ng'ombe anavyowapa wanamuziki wa FM ACADEMIA .
Sasa cha kushangaza mwaka huu amezuka mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia Ackson , Huyu tetesi zinadokeza kwamba lengo lake si kufadhili ngoma za asili , maana alikuwepo miaka yote na alikuwa na uwezo kama huu wa leo , lakini hakufanya hivi , taarifa zinaonyesha kwamba amelenga kurubuni wakazi wa Rungwe ili achaguliwe mbunge uchaguzi ujao .
Mbinu hii ya kizamani haikubaliki , na naomba kuchukua nafasi hii kuwaasa wana Rungwe kumuogopa huyu mama kama ukoma .
Dr Tulia aliyeingia bungeni na kubebwa kwa mbeleko ya chuma hadi kwenye unaibu spika , amekuwa mstari wa mbele kudhalilisha na kunyanyasa wabunge wa upinzani , amezima mijadala mingi yenye tija ili kuokoa chama chake , huyu hawezi kuwa msaada wa Akina Mama wauza ndizi na maziwa wa ushirika au Kiwira , hafai hata kuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Makandana , hafai .
Dr Ngunangwa aliwahi kuwauliza waliokuwa wanajipitisha kwenye jimbo lake huko Njombe na kutoa zawadi za baiskeli nk , kwamba WALIKWINA ? yaani kwa kiswahili , MIAKA YOTE WALIKUWA WAPI ?
Nakala ya uzi huu imfikie JOHN MWAMBIGIJA .
CCM ni waoga sana , wanaogopa mno kulipiwa kisasi kwa unyama waliotutendeaMimi sina chama lakini hamuoni kuwa mkiwa na wabunge wengi wa vyama vingine kuliko wa chama kuu nchi itakuwa na ubora zaidi? Kutakuwa na uwajibikaji zaidi?
Huwa hatupendi tuna pangiwamkimpa ubunge huyu dada, nitawadharau sana wanyakyusa.
sasa anahangaikia nini ?hata asipochaguliwa kuna wabunge wa kuteuliwa , katiba inaruhusu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umejiandikisha nchi nzima au ndio nyie mnaopiga kura kabla siku ya uchaguzi ?Wivu Wivu Unawasumbua Go go go Tulia 2020 kokote utakako kuwa nitakuja kukupigia kura
Sent using Jamii Forums mobile app