Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Kweli mkuu huyu babu kakiua kabisa chama kinapumulia mashine kwa sasa..
 
waliteuliwa ama walichaguliwa ama walijiweka?
nenda kwenye katiba nzuri.
 
take 5. ni weak leader
Weak leader who fetched all those votes.
Weak leader who is making CCM to walk on their toes
Weak leader who you even planted eavesdrop gadgets under his bed?
The opposite is true.
 
Kenge maccm chama hakiendeshwi kwa matamko ya vibaraka vinjanjaa wa waua tembo na mafisadi wa ccm km yona na wenzie kwanza walishafukuzwa uanachama siku nyingi,si waende huko ccm kuliko na haki sisi wanachadema hatuwahitaji hawa.
 
huwezi kuku m2 mwenye elimu yake na asiye kura kwa kupitia ccm akashabikia ccm nyie wenyewe mnalijua hilo ila mmekaria porojo 2 nnajifanya hajui sababu ya wa2 wa mijini kuwakataa nyinyi mnatumia ujinga wa wa2 wa vijijini ku kuishi pumbafu
 
huwezi kukuta m2 mwenye elimu yake na asiye kura kwa kupitia ccm akashabikia ccm nyie wenyewe mnalijua hilo ila mmekaria porojo 2 nnajifanya hamjui sababu ya wa2 wa mijini kuwakataa nyinyi mnatumia ujinga wa wa2 wa vijijini ku kuishi pumbafu
 
Mnaojidanganya kupiga kelele ili Slaa akitoka muisambaratishe chadema hamtafanikiwa!
 
huwezi kukuta m2 mwenye elimu yake na asiye kura kwa kupitia ccm akashabikia ccm nyie wenyewe mnalijua hilo ila mmekaria porojo 2 nnajifanya hamjui sababu ya wa2 wa mijini kuwakataa nyinyi mnatumia ujinga wa wa2 wa vijijini ku kuishi pumbafu

dr. Slaa hana kadi ya CCM?
 

Jirani yako akiachana na mkewe wewe pia utamuiga na kumfukuza wa kwako? Tujitahidi kufikiria kwa kutumia akili zetu tuache ku-copy na ku-paste
 
Hivi kwa nini Dr Slaa anachukiwa sana na baadhi ya watu? kwa mujibu wa baadhi ya post zinazojirudia kila mara hapa JF.
 
mwisho wa ubaya wa chadema aib. mlizan mtamkomesha honourable, mr excellence ZITO KABWE
 
DR anawanyima usingizi kabisa eee!! na bado 2015 lazima muelewe!!
 

Mwambieni mwenyekiti wenu kikwete ndio ajiuzuru kuinusuru,maana Mkapa alisema kuwa ccm haitamfia mikononi mwake.
 

Utakuwa umetoroka Mirembe! Wakati CCM tunatumia rasilimali zetu zote na nguvu zetu zote kuhakikisha CHADEMA inakufa. Wewe unapendekeza kuinusuru tena CDM. Utakuwa umelewa mnazi. Dr. Slaa endelea kubaki hapo hapo kwenye nafasi yako ile CDM ife maana ndiyo faraja na furaha yetu CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…