Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

 
Kwa sasa chadema inatakiwa ipate katibu mkuu ambaye muda wote atakuwa anashinda vijijini kuhamasisha wananchi badala ya kufanya mikutano mjini tu! Bila chadema kujizatiti vijijini ni bure kabisa!
 
Kwa sasa chadema inatakiwa ipate katibu mkuu ambaye muda wote atakuwa anashinda vijijini kuhamasisha wananchi badala ya kufanya mikutano mjini tu! Bila chadema kujizatiti vijijini ni bure kabisa!

take 5. ni weak leader
 
Wewe ngumbaru kweli, Hivi unajua aliyesababisha hao kina Mukama na Makamba wawekwe pembeni ni nani? Unaharisha tu bila mpangilio Chadema ni sehemu ambayo ukweli huitwa kwa jina lake Hapa JIWE huitwaJIWE na Koleo huitwa KOLEO sio likijiko likubwa nyambafu zako

Ulitaka Katibu mkuu Chadema awapangie cha kuzungumza bungeni wabunge wake kama maccm yanavyowapangia cha kusema wabunge wake? Ndio maana hii inaitwa Chadema nanyi mnaitwa ccm kamwe haviwezi kufanana kwa lolote.

Na huu ndo uhuru wa kuzungumza huwezi kumpangia mtu mzima cha kusema naye akaelewa,Chadema wabunge wake wanapalulana kama unavyosema kwasababu wanaamini ktk kunyooshana bila kujali huyu ni wakwetu au wakwao huu ndo kule tunaita WE DARE TO TALK OPENLY kajaribu kumwambia kitembo wako awaruhusu wabunge wake waongee kwa uhuru bila mipaka uone kama liccm litabaki salama kima wewe

BACK TANGANYIKA
 
Alipoteza heshima na umaarufu ni Dk Slaa. aliefikia hatua ya kupopolewa mawe jukwaani,aliekokotwa mahakamani kwa kunyakua mke wamtu.

Naomba kukumbushwa hivi mahakama ilisemaje vile? Halafu nilikuwa sijui kumbe ukipopolewa mawe umaarufu umepotea! Kweli haya mambo mimi yamenipita pembeni, kumbe Kikwete msafara wake ulipopolewa kule Mbeya ni dalili ya kupoteza umaarufu! ahsante kwa kuniamsha usingizini.
 
sisiem ni mafisi yana hila na yapo kama kupe mpaka ng'ombe afe ndio yatoke watanganyika mpaka tumeanza kukata roho bado tu yanatufyonza damu sasa kuliko watanganyika tufe tuyaache makupe mazima ni bora sasa tunywe sumu ili tufe pamoja na makupe haya
 

Nyie watoto wa haram nyie msiokua na malezi toka lini mkatoa ushauri wa kujenga kwa maadui zenu?mbna hamlalamikii malipo ynu ya bku saba?je hamuoni ufisadi wa viongz wnu hapo lumumba?au mmesharidhika na kiongozi wenu promota wa mziki na ukataji viuno?

Rest in peace promota.
 
Kumbe kweli Buku Saba mnamuogopa Dr na Mweshimiwa Mbowe sasa kwa taharifa hawatoki kwa Tamko la nyie Intarahamwe wa hapo Lumumba. cc Msalani,Ifeero, Aminangalo na Abakora
 
Babu anazeeka vibaya. Hashauriki wala haambiliki. Amegota
 
kama slaa anakiua chama si ndo furaha kwenu mnaweweseka nin mwacheni akiue cdm itawasumbua mpaka siku nchi inakombolewa
 
Uharo, napita tu na kazi ya muhimu ya kufanya
 
Kwa sasa chadema inatakiwa ipate katibu mkuu ambaye muda wote atakuwa anashinda vijijini kuhamasisha wananchi badala ya kufanya mikutano mjini tu! Bila chadema kujizatiti vijijini ni bure kabisa!

Tuambie Sasa Kwa Mtazamo Wako Unafikiri Ni Nani Sasa Wa Kushika Hiyo Nafasi.
 
Gesi inaisha, maumivu yanakuja polepole, walikua watu makini tukakipenda, tukakisifu, but now wanapotoka, muda bado wajilekebishe, Hizo ndo siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…