farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 695
Kuwapima wagombea ni sawa lakn zzk anagombea nn ???? Nadhan hapo sio size yake zzt, aende mwandigaKwako philosopy ni nin?kwanini Dr Slaa na Lipumba wana same culture kuliko Lipumba na Samweli Sitta?kwako culture ni nin?hapa nadhani kuna tatizo la definition yako ya philospoy ni nin na culture ni nin?
Fahamu tu haiwezekani watu wote ata wakiwa chama kimoja kuwa watakuwa na mtazamo mmoja kwenye kila kitu, ukiona hivyo jua kuna tatizo kubwa kwenye kundi hili kwenye bongo zao, vinginevyo binadamu watakuwa na tofauti hapa na pale.
Pia ni vizuri tuwe tunajifunza ata nchi zingine wanafanya nini, Angalia hapa: Wagombea wa chama kimoja, democratic mwaka 2008, akiwepo Clinton na Obama.
From left to right, Democratic presidential hopefuls former Sen. John Edwards, Sen. Barack Obama, New Mexico Gov. Bill Richardson, Sen. Hillary Clinton, Sen. Joseph Biden, and Sen. Christopher Dodd, are seen before the Des Moines Register Democratic Presidential Debate in Johnston, Iowa, Thursday, Dec.13, 2007. (AP Photo/Charlie Neibergall)
Hivyo tujifunze kuzoea democrasia na kuzoea kupima uwezo wa wagombea kwenye issues.Tatizo tumezoa kubeba mbuzi kwenye gunia ndio maana tunaogopa wagombea/mgombea tunayempenda kuwa atashindwa kuperform kwenye debate hivyo tunaficha udhaifu wake.Tuache hayo mambo.Tupime uwezo wa wagombea.