Silaa tafadhali kutaka kwako kura kusikufanye ukatunyang"anya tonge wafanyakazi mdomoni. Tunazitaka sana hiyo nyongeza ya mshahara no matter imetangazwa wapi? we mbona umeahidi mengi? hizo ahadi si rushwa na si kinyume na maadili ya kampeni? kabla ya kuzinduliwa kwa kampeni ulizitaka kura zetu na ukaahidi kuongeza mshahara hiyo si rushwa? Nilikupenda sana niliapa kutopiga kura mwaka huu lakini ulipokuja wewe nikahamasika lakini kwa hili unaniboa na kinirudisha kulekule. Wafanyakazi hatudanganyiki na nyongeza ya mshahara hata akiongeza kama hatukumtaka tusimgempa na hata kama asipoongeza kama tulimtaka tungempa. NImegundua kuwa wagombea wote wapo kwaajili ya kura tu na wala si maslahi ya wananchi, kama kweli unamaslahi nasi ungeacha wafanyakazi mwezi huu wa nane japo tufikie hiyo 175,000/= tupambane na maisha. Khaa bee!!!!
Pesa zote zinapitishwa na bunge hasa nyongeza za mishahara na kutangazwa na waziri husika.Ukirejea
kipindi cha bunge la bajeti serikali ilitangaza kima cha chini cha sh 135,000/= na kusema serikali haiwezi
kuongeza pesa zaidi ya hiyo kutokana na ufinyu wa bajeti.Swali la kujiuliza hizo pesa zimetoka wapi za
nyongeza na ni nani kaidhinisha hizo pesa hapo ndo utakapoona ufinyu wa mawazo yako.Kinachoongelewa
na Dr.Slaa je zile taratibu za kuidhinisha hizo pesa zilifuatwa, kikao gani cha bunge kimekaa kuridhia ombi la
serikali nyongeza ya bajeti, je waziri husika alitangaza ongezeko hilo kupitia gazeti la serikali.Hizi pesa
zilizongezeka kama kima cha chini ni kodi za wanachi si za ccm lazima zifuate taratibu na sheria sio
unakurupuka baada ya kuona mambo yamekufikashingoni unaenda kwenye majukwaa ya kisiasa unatangaza
kima cha chini.Dr Slaa hatunyang'ani hilo tonge letu ila anachohoji hii si rushwa.
Jamani si huyu huyu raisi alitudharirisha pale Diomondi Jubilee na kutuambia hata tugome miaka 8 hicho
kima cha chini hatatoa sasa hizi za sasa katoa wapi?
Kagemulo. Achana na pandikizi hili. Halina hoja mbali na kutumwa.
Hana hoja maana hata hoja anazolalamikia Dr Slaa hazijui. Yupo kuandika pumba akidhani tutamshangilia kumbe tumemgeuza sawa na karatasi ya kupangusa uchafu choon.
labda Kuna Fisadi mmoja kasharudi kiasi ndiyo kaamua kuwaongezea wafanya kazi ili wadanganyike.......kima cha chini hatatoa sasa hizi za sasa katoa wapi?
Silaa tafadhali kutaka kwako kura kusikufanye ukatunyang"anya tonge wafanyakazi mdomoni. Tunazitaka sana hiyo nyongeza ya mshahara no matter imetangazwa wapi? we mbona umeahidi mengi? hizo ahadi si rushwa na si kinyume na maadili ya kampeni? kabla ya kuzinduliwa kwa kampeni ulizitaka kura zetu na ukaahidi kuongeza mshahara hiyo si rushwa? Nilikupenda sana niliapa kutopiga kura mwaka huu lakini ulipokuja wewe nikahamasika lakini kwa hili unaniboa na kinirudisha kulekule. Wafanyakazi hatudanganyiki na nyongeza ya mshahara hata akiongeza kama hatukumtaka tusimgempa na hata kama asipoongeza kama tulimtaka tungempa. NImegundua kuwa wagombea wote wapo kwaajili ya kura tu na wala si maslahi ya wananchi, kama kweli unamaslahi nasi ungeacha wafanyakazi mwezi huu wa nane japo tufikie hiyo 175,000/= tupambane na maisha. Khaa bee!!!!
Usitoe kura yako kama shukrani kwa mtu aliyekufanyia jambo fulani, toa kwa yule unayedhani atakuonoza vizuri huko uendako. Kama kuna aliyekuongoza vizuri kwenye mitaa ya huko kijijini, siyo lazima umpe kura tena huyo eti akuongoza mjini bila kujua kama anaijua mitaa ya mjini.WANASIASA WANAOTAKA KURA ZETU ........WAMETUFANYIA NINI?......sio kukurupuka na kuzitaka kura zetu
Silaa tafadhali kutaka kwako kura kusikufanye ukatunyang"anya tonge wafanyakazi mdomoni. Tunazitaka sana hiyo nyongeza ya mshahara no matter imetangazwa wapi? we mbona umeahidi mengi? hizo ahadi si rushwa na si kinyume na maadili ya kampeni? kabla ya kuzinduliwa kwa kampeni ulizitaka kura zetu na ukaahidi kuongeza mshahara hiyo si rushwa? Nilikupenda sana niliapa kutopiga kura mwaka huu lakini ulipokuja wewe nikahamasika lakini kwa hili unaniboa na kinirudisha kulekule. Wafanyakazi hatudanganyiki na nyongeza ya mshahara hata akiongeza kama hatukumtaka tusimgempa na hata kama asipoongeza kama tulimtaka tungempa. NImegundua kuwa wagombea wote wapo kwaajili ya kura tu na wala si maslahi ya wananchi, kama kweli unamaslahi nasi ungeacha wafanyakazi mwezi huu wa nane japo tufikie hiyo 175,000/= tupambane na maisha. Khaa bee!!!!
Sijadanganywa wana JFmtu mzima hadanganyiki.NIlipokuwa naandika nilijuakabisa humu ndani 90% ni CHADEMA original nilitegemea kuzongwana kutukanwa kabisa. TO be honest since naingia kazini 2007 JK kanipandishia mshahara more than 3times,nilianza na 392000 per month mpaka mwezi july,2010 kwa mshahara mpya nimefikia 709000. wale wa kima cha chini 2007walikuwa na only 61000 per month sasa wana 135000,wapi hakuongeza kama mnavyodai. CHADEMA si nguvu zao ila TUCTA na migomo ya wafanyakazi ndo wametufikisha hapa CHADEMA msijidai. I owe you alot Mgaya thanks to you,live longer!!!