Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.

"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wanachama wetu, mashabiki na wapenzi wetu wote. Taarifa itakuja baadaye"
source: facebook yake
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.
Am tired with this situation. Watu wanatamaa, hawataki ukweli, they just want to lead all the time. sasa bora watangaze hali ya hatari hakuna uchaguzi tujue moja kuwa tuko kwenye utawala wa kidictator tujipange.
:smile-big: mpitaji embu lianzisheni basi muone:lock1:tunasubiri kwa hamu Dr wetu wa ukweli. tunaomba mtoe tamko lenye mtazamo sahihi bila kuogopa chama, serikali ambayo ipo corrupted wala wadau wowote wa kifisadi. wewe ndio tegemeo letu na mwongozo wetu wapigania haki. all the best Dr.