Elections 2010 Dr. Slaa: Tutatoa tamko letu wakati wowote kuanzia sasa

Tunasubiri kwa hamu sana mkombozi wetu. Mungu akupe hekima zaidi katika hilo
 
Dr. Slaa toa tamko tu kuwa umeshindwa na JK si saizi yako. Tatizo ulifuata ushauri usio wa busara wa kugombea urais ambapo matokeo yake umeyaona, umeisha angukia pua sasa, na wenzako wamekuacha wanaingia mjengoni. Polee sana , na utafiti wa REDET pamoja na SNOVATE ambao uliukandia unaonekana kuwa kweli, mpaka sasa jamaa anaongoza kwa 80% na majimbo karibu yote yanaisha . Umeingia CHOO CHA KIKE SLAA !:nono:
 
"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wanachama wetu, mashabiki na wapenzi wetu wote. Taarifa itakuja baadaye"

source: facebook yake

kupitia chombo gani cha habari mkuu?? tujuze tafadhali.
 
Dr. Slaa toa tamko tu kuwa umeshindwa na JK si saizi yako. Tatizo ulifuata ushauri usio wa busara wa kugombea urais ambapo matokeo yake umeyaona, umeisha angukia pua sasa, na wenzako wamekuacha wanaingia mjengoni. Polee sana , na utafiti wa REDET pamoja na SNOVATE ambao uliukandia unaonekana kuwa kweli, mpaka sasa jamaa anaongoza kwa 80% na majimbo karibu yote yanaisha . Umeingia CHOO CHA KIKE SLAA !:nono:

Mod,
hivi matusi yanaruhusiwa JF?
 
Tunakusubiri Daktari wa ukweli!! Yaani ni wewe unafaa kuikomboa hii nchi. Ila uliwakosesha Chama cha Majambazi usingizi sana, uliwapanikisha vibaya mno. Sasa tumeshajua mbinu zao, wasubiri 2015.
 
"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wanachama wetu, mashabiki na wapenzi wetu wote. Taarifa itakuja baadaye"

source: facebook yake
Nasikia ameshaongea na wahandishi wa habari je ni kweli?
 
naona shida sana kupost humu maana hawa jamaa waliotumwa kutoka USALAMA WA TAIFA wanachakachua thread nzuri kila inapoanzishwa.
ila nimemsoma slaa na kukubaliana naye kwamba nec wasitishe kutangaza matokeo
 
Back
Top Bottom