Elections 2010 Dr. Slaa: Tutatoa tamko letu wakati wowote kuanzia sasa

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wanachama wetu, mashabiki na wapenzi wetu wote. Taarifa itakuja baadaye"

source: facebook yake
 
tunasubiri kwa hamu Dr wetu wa ukweli. tunaomba mtoe tamko lenye mtazamo sahihi bila kuogopa chama, serikali ambayo ipo corrupted wala wadau wowote wa kifisadi. wewe ndio tegemeo letu na mwongozo wetu wapigania haki. all the best Dr.
 
Patience and torelance are key elements at this particular juncture
 
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.
 
Wacha waendelee kuiba mimi nimekaa na bakora yangu hapa nitaanza kuwachapa viboko kama watoto wa shule hapa hapa Magogoni. Nitaanza na Riziwani halafi nitakwenda kumtafuta anayejiita dingi.

Hatutakubali wizi wa kimachomacho hata wakileta vifaru mitaani, ati amani amani ya wizi hii nchi imenikatisha tamaa na hawa vimburu wasio na aibu.
 
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.

domo kaa chewa tafuta picha nyingine
 
Am tired with this situation. Watu wanatamaa, hawataki ukweli, they just want to lead all the time. sasa bora watangaze hali ya hatari hakuna uchaguzi tujue moja kuwa tuko kwenye utawala wa kidictator tujipange.
 
naaaaaaaaaam Dr wa ukweli kaongea nasi hatuna budi kusubiri hekima na busara zake
 
ni sawa kabisa kwa DR kutoa tamko kwani ni wazi kuna mengi yanaenda ndivyo sivyo!

hivi wewe domo kaya kwanini hutaki kutumia "common sense?", na wasiwasi kama unayo!!!! :doh:
 
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.

Jina lako limefanana na jinsi ulivyo.
 
"Tunatarajia kutoa tamko letu leo kufuatia mwelekeo wa utangazaji wa matokeo ya kura za urais na maoni yetu juu ya yale yaliyojiri kuanzia siku ya Jumapili. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wanachama wetu, mashabiki na wapenzi wetu wote. Taarifa itakuja baadaye"

source: facebook yake

Mona hakuna tamko kama Hilo???
 
Dr Slaa ni jasili hivyo atatoa tamko la kukubali kushindwa, kwani asijeyekubari kushindwa sio mshindani. Hapa tatizo sio Dr. Slaa tatizo ni nyinyi wafuasi wake ndio mna matatizo na uchochezi suio kuwa na maana yeyote, Chadema imeshachukua Viti vyingi vya Ubunge inatosha sasa kelele za nini, na matokeo yanaonyesha Kikwete mpk sasa anaongoza, hebu acheni hizo bwana. Kuwa mkweli ni vizuri japo wanaosema ukweli mnawaita makada wa CCM, ila mie sina chama na naangalia ukweli upo wapi kutokana na matokeo yanavyokwenda.

Aisiiii:doh: "JF Senior Expert Member"....I'm hungrryyy
 
Nani anasema inatosha viti vya ubunge? hatudanganyiki every vote counts na hatuwezi kusema eti inatosha ni haki ya kila mwananchi kura yake kuhesabiwa na mshindi ajulikane awe upinzani au chama tawala//
 
Am tired with this situation. Watu wanatamaa, hawataki ukweli, they just want to lead all the time. sasa bora watangaze hali ya hatari hakuna uchaguzi tujue moja kuwa tuko kwenye utawala wa kidictator tujipange.

Unasubiri utangaziwe kuwa JK ni zaidi ya Idd Amin dada? Ni dictator kupindukia...uzuri akiapishwa tu count down imeanza na miaka 5 ni kama miezi mitano tu...ataona jioni na asubuhi na ghafla madaraka bye!
 
tunasubiri kwa hamu Dr wetu wa ukweli. tunaomba mtoe tamko lenye mtazamo sahihi bila kuogopa chama, serikali ambayo ipo corrupted wala wadau wowote wa kifisadi. wewe ndio tegemeo letu na mwongozo wetu wapigania haki. all the best Dr.
:smile-big: mpitaji embu lianzisheni basi muone:lock1:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom