Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

Zitto anazungumzia maswala mazito ya kitaifa elimu, nishati ya umeme na madini, ufanisi katika manunuzi kwenye mashirika ya umma yeye anawaza chadema ikiingia ikulu waanze kutengeneza gongo. Anachefua sana.
 
Gongo=viroba, kwani viroba vinauzwa mafichoni? Msimuonee wivu dr kwa ubunifu wa ajira

Kweli eeh ?!,
Ikitokea tukapatwa na uwendawazimu wa kupata chama cha mashoga yeyebpia atabariki alimradi tu apate kura zao,

Padre/Dokita jaribu basi kuwa na hofu hata ya Mungu kwa binadamu wenzio eeh...!!! au ndo umechoka na uzee unakupeleka kombo hivyo kila kikuijiacho akilini na ukionacho machoni lazima useme !!?

Mshauri wako mkuu ni nani nijaribu kumsaidia mbinu za kukushauri Dokita?
 
Tofauti ya gongo na konyagi ni urasimishaji na kulipia kodi. Wajanja wameliona hilo wakaiweka kwenye packet wakaita viroba, wakalipa kodi ikaondolewa kwenye kundi la haramu. Binafsi sioni tatizo hapo
Haya ndo matatizo ya ushabiki wa kisiasa, hebu kajifunze ujue kwanini konyagi, au VIROBA vinaruhusiwa? Na iwapo gongo nayo itarasimishwa haitokuwa gongo tena Bali something else! Mojawapo ya mambo yatakayotakiwa ni quality assuarance
 
Hoja yake ilikuwa ufisadi. Sasa imeshafahamika kuwa yeye ni fisadi pia.

Hana hoja tena. Akiongelea ufisadi anajua ataulizwa ripoti yanmapato na matumizi. Ndio maana ameona ajaribu ishu ya gongo kwanza. Ni kama yule jamaa aliyeimba "nitoke vipi?" Slaa kaamua kutest zali la kutoka kigongo gongo...
 
Tofauti ya gongo na konyagi ni urasimishaji na kulipia kodi. Wajanja wameliona hilo wakaiweka kwenye packet wakaita viroba, wakalipa kodi ikaondolewa kwenye kundi la haramu. Binafsi sioni tatizo hapo
Tatizo lipo mkuu unazani hiyo gongo inunuliwe na wenye viwanda, bado itauzwa kwa bei hii sasa ya kienyeji, na wenye viwanda watakubari kununua kwa bei ya wapikaji? kwani kojagi sasa wanakatwazwa kununua malighafi ya kutengenezea gongo alafu kutengeneza konyagi?
 
Wakuu gongo tena? Siamini hii habari labda mkuu atupe source nyingine mahususi ya habari maana nipashe walishanunuliwa siku nyingi, Au kama si hivyo huyu atakuwa ni Zitto kaipika hii habari ili kufitinisha watu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu usichoamini ni nini. Hivi wewe ulikuwa unamtegemea slaa atakuwa rais?
 
Last edited by a moderator:

Mbona ni maliberali hao! Kuolewa wameshaamua!
 
Wakuu gongo tena? Siamini hii habari labda mkuu atupe source nyingine mahususi ya habari maana nipashe walishanunuliwa siku nyingi, Au kama si hivyo huyu atakuwa ni Zitto kaipika hii habari ili kufitinisha watu.

Siku hizi hata mtu akigombana na mke wake atasema ni Zitto wadanganyika bwana!
 
Last edited by a moderator:
Haya ndo matatizo ya ushabiki wa kisiasa, hebu kajifunze ujue kwanini konyagi, au VIROBA vinaruhusiwa? Na iwapo gongo nayo itarasimishwa haitokuwa gongo tena Bali something else! Mojawapo ya mambo yatakayotakiwa ni quality assuarance

Wacha kukurupuka, kurasimishwa maana yake nini, na yeye kasema itatengenezewa wapi? Soma maelezo ya mleta mada kwanza, akitokea mtu wa kwenda na brand hiyo hiyo ya gongo kwenye chupa kama ya konyagi unadhani watamkataza? Au unadhani inakatazwa kwa sababu inaitwa gongo?
 
Mbona ni maliberali hao! Kuolewa wameshaamua!
 
Wakuu gongo tena? Siamini hii habari labda mkuu atupe source nyingine mahususi ya habari maana nipashe walishanunuliwa siku nyingi, Au kama si hivyo huyu atakuwa ni Zitto kaipika hii habari ili kufitinisha watu.
Hivi kuna vitu unaamini kutoka Dr.Slaa kwa hiyo unapingana na kauli ya Dr.Slaa,
 
Last edited by a moderator:
Soma maelezo vizuri sio kudandia comments za watu, kwani kurasimishwa manake nini, na wapi amesema itatengenezewa?
 
Zitto anazungumzia maswala mazito ya kitaifa elimu, nishati ya umeme na madini, ufanisi katika manunuzi kwenye mashirika ya umma yeye anawaza chadema ikiingia ikulu waanze kutengeneza gongo. Anachefua sana.

Yeah! Huyo ndio rais mtarajiwa wa Mtei's familly, atakuwa na miaka 80!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…