ni wajinga wa kariba yako wanaweza kufikiri sawa na upunguani wakoNaona babu sasa amegeuka kuwa ze komedy
Mimi nitaongea na kina Mpoki wamchukue kwenye show zao , atafaa sana
Mkuu, ndio mana inaitwa siasa. Unacheza tu na akili za watuHahahahaha hii kali.
Yaani kukamatwa na silaha kiwe kigezo cha mtu kupewa ajira!!! Kijana akikosa ajira anajikamatisha na silaha haramu halafu anapewa ajira!
Tuliwaambieni kuwa Slaa ni mwanasiasa mlaghai, sasa mnaona? Kapokewa na kikundi cha wauza gongo anaona awalaghai kwa kuitetea gongo!
Hali mbaya kwa Dr.Slaa baada ya kuona albamu yake ya ufisadi imefulia sasa kaamua kutoka ni single ya Gongo.