Dr. Slaa: Siwezi kujibishana na Shibuda

Dr. Slaa: Siwezi kujibishana na Shibuda

muweke dr upande mmoja na shibuda upande mwingine kama slaa hajakaa amezoea kuwafukuza vidagaa .zitto.shibuda hawez atakoma slaa anatakiwa kukakimya kwg hili.hongera kwa kusema ukweli dr

Dr. Slaa siku hizi anafukuza au kuna utaratibu wa kichama kuwafukuza wasiowaadilifu katika chama. Matata wa Mza yuko wapi? CDM msimfukuze huyu Shibuda maana CCM wao kila siku ni kuidhoofisha CDM kiakili na kifedha.
 
Sijui nani aliwashauri Chadema wamchukue Shibuda!
 
Uhuru wa kuongea mitizamo tofauti ndani na nje ya chama ni njia nzuri ya kujenga chama.kinyume chake ni unafiki na kuua chama. kwa hili nampongeza DR Slaa na uongozi mzima wa CDM kuona hiyo ni haki yake mh SHIBUDA kusema kile anachoamini na ni kazi ya chama na wanachama kupambana nacho ktk kujenga chama. kubeza au kusubiri mtu wangu atakachosema wengine tumshabikie bila kutafakari hoja ni kuua chama.
 
Jamani tufukuze na huyu kwanini tinamuogopa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
lazima ashindwe kumjibu make slaa hana hoja huwa ni bingwa wa kuropoka
UKo Mtoni unaoga kichaa anachukua nguo yako nawe wa mkimbiza si utaonekana wewe ndio kichaa,shibuda he has been reduced to zero, his image is doomed,he wants an attention and he wont get RIP Shibuda
 
Kuna usemi usemao " Don't argue with fools, they will cut you down to their level and beat you with experience" Shibuda ni bingwa wa kuropoka, ukishindana naye atakushinda, Bravo Dr. Slaa.
 
Ni uharibifu wa Calories kujibizana na Shibuda"
 
Dk Slaa na Chadema kwa ujumla wampuuze huyu JUHA na mwisho wa siku kumbe ni misfit ataondoka mwenyewe. Ni uamuzi mzuri kutojibizana naye kwani anachokitafuta tunakijua. Ila huo pia ndio mwisho wake kisiasa (hajawahi kuwa mwanasiasa makini anyway). He is more of a joker than a politician.
 
Shibuda bado hajatamka rasmi anayotaka kuyasema, je Dr Slaa mnataka ajishane naye nini?,pale Shibuda atakaposema basi kila mtu ana haki ya kumjibu akiwamo Dr Slaa
 
kuna mtangazaji wa kike wa kituo kimoja cha radio kilichopo jijini dar wiki liopita alithubutu kumwita shibuda mropokaji baada ya kusoma gazeti moja na kukuta tambo za shibuda kuwa yeye ni kamanda asiyeshindwa vita.....siku moja mwezi ulopita nilikutana nae huyu mlopokaji baa moja dodoma inaitwa rose garden.....ktk maongezi ...... nikajiuliza huyu nani anayeropoka bila staha mbele ya totooooooooooooooooooooooooz ebwana eeeh kumbe ni jitu lenye domo......sitaki kuwalaumu walomchagua lakini!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thats A real Great thinker..... Maana watu walitaka kuuza gazeti kwa ishu hiyo.... Yanini kujibizana na vidagaa Wanaotafuta umaarufu kwa kujaribu chokonoa Big People???
 
katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru wa kusema atakacho...

source magazetini
kusema atakacho...

Good.....Kuhusu hili nilishawahi kusema Dawa ya attention seeker ni kumpuuza
Shibuda ni mnomaa sana.ni unique politician,sijapata ona na ana maconfidence ya kufa mtu.

Haya Maneno yenu haya haya ndiyo yaliyowapa Vichwa MASALIA halafu walipowajibishwa wengine wakaja na RIWAYA ndefu ati wameonewa
 
kuna mtangazaji wa kike wa kituo kimoja cha radio kilichopo jijini dar wiki liopita alithubutu kumwita shibuda mropokaji baada ya kusoma gazeti moja na kukuta tambo za shibuda kuwa yeye ni kamanda asiyeshindwa vita.....siku moja mwezi ulopita nilikutana nae huyu mlopokaji baa moja dodoma inaitwa rose garden.....ktk maongezi ...... nikajiuliza huyu nani anayeropoka bila staha mbele ya totooooooooooooooooooooooooz ebwana eeeh kumbe ni jitu lenye domo......sitaki kuwalaumu walomchagua lakini!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama ni hivyo mkuu hana faida kwenye chama na hafai anapaswa kuondolewa kama walivyofanyiwa wengine wenye tabia kama zake,cham kinahitaji watu wenye kukisaidia kwa mawazo,na mambo mengine ya muhimu ili kukijenga!!!!!

WABHEJASANA acha kufikiri kwa kutumia Masaburi,,,, kichaa amekukuta mtoni unaoga akachukua nguo zzako utamfukuza uchi? Nani kichaa kati yako na yeye? Think be4 u talk
 
muweke dr upande mmoja na shibuda upande mwingine kama slaa hajakaa amezoea kuwafukuza vidagaa .zitto.shibuda hawez atakoma slaa anatakiwa kukakimya kwg hili.hongera kwa kusema ukweli dr

Magamba yapo kazini leo
 
Back
Top Bottom