Majibu mepesi katika maswali magumu, yatamtokea puani huyu mzee, chezea SHIBUDA weye.
Majibu mepesi katika maswali magumu, yatamtokea puani huyu mzee, chezea SHIBUDA weye.
Kukuwako mwenyewe, yanini kumshikia manati? Wakati wowote waweza kumkamata na kumchinja. Big up Dr. wakati ukifika atakamatwa na kuchinjwa.Dr Slaa hana meno ya kumng'ata Shibuda anaishia kubweka tu.
Mrisho Ngasa hawezi kutia pua kwa Lionel Messi hata siku moja; weee thubutu yake anamjua vizuri sana is wote walikuwa makada au mmesahau hilo!
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Shibuda ajibiwe na Baraza la wazee .......
Mbona wale akina Shonza waliosema wayatakayo wamewajibishwa,Shibuda ni zaidi ya CHADEMA???!!!ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !
Dr Slaa hana meno ya kumng'ata Shibuda anaishia kubweka tu.
Kwenye siasa hatuamini maombi peleka huko taka taka yako.Njoo ufanyiwe maombi, ukiombewa tatizo lako ni dogo sana.
Ni kichaa tuu anayeweza kujibizana na shibuda.MASHA aliwahi kumwambia mbowe huyu mwehu hamta muweza afadhali mmetuondolea mzigo.