Ukiona
Dr.W.Slaa katoa kauli ya hivyo ujue basi ni lengo la kutaka kuepusha majibishano yasiyo na kichwa wala miguu, ila kwa wanaojua ukweli ni kwamba Shibuda safari hii hata maliza miezi 6 akiwa bado ni mwanachama kwani naamin CHADEMA huwa haikurupuki bali huwa inaacha mtu ajikoroge kwanza then ndio wanakupa ile kitu inayotwa"Things faling apart" kama wale masalia PM7, kwani kuna siku nilimuhoji
John Mnyika humu swali kuwa ni kwanini mlikuwa mmewaacha masalia siku zote waki-misbehave alafu leo ndo mnawatimua? Ila akanijibu kwamba chama huwa kinaona lakin ushahidi huwa unakusanywa kwanza kwa mujibu wa katiba ili kuepusha upotoshaji wowote usio na maana.
CC:
Ben Saanane,
Molemo