idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
lazima ashindwe kumjibu make slaa hana hoja huwa ni bingwa wa kuropoka
hivi Shibuda anahoja gani zaidi ya viroja na uropokaji.?
lazima ashindwe kumjibu make slaa hana hoja huwa ni bingwa wa kuropoka
sheikh ponda anaendeleaje gerezani?
mbona kunawengine bila ya kumtaja steve biko, malcome X Chegue huavara hotuba zao zinayumba[ MBOWE NA LEMA] wazee wakucopy na kupaste na kama dr hawezi kubishana na mpuuzi mbona alipambana na madiwani wa Arusha kwanini Shibuda na Zitto waachwe?KWELI NIMEAMINI SHIBUDA NI DROGBA

katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru wa kusema atakacho...

source magazetini
To please a Fool is to say Yes!Never argue with a fool coz it will be difficult to differentiate who is the real fool. . . big up dr kwa kuliona hilo
mbona kunawengine bila ya kumtaja steve biko, malcome X Chegue huavara hotuba zao zinayumba[ MBOWE NA LEMA] wazee wakucopy na kupaste na kama dr hawezi kubishana na mpuuzi mbona alipambana na madiwani wa Arusha kwanini Shibuda na Zitto waachwe?KWELI NIMEAMINI SHIBUDA NI DROGBA
huyo ndio kiboko ya chadema hakuna wa kumsogelea mwana
Mbona wale akina Shonza waliosema wayatakayo wamewajibishwa,Shibuda ni zaidi ya CHADEMA???!!!ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !
Nikumbushe kidogo, ile sheria si mpaka uongee ndani bunge? Nafikiri shibuda aliongea akiwa nje ya shughuli za bunge.unajua mbunge kuna wakati maneno yake akiongea analindwa na bunge hivyo lazima uwe makini..
kama ni hivyo mkuu hana faida kwenye chama na hafai anapaswa kuondolewa kama walivyofanyiwa wengine wenye tabia kama zake,cham kinahitaji watu wenye kukisaidia kwa mawazo,na mambo mengine ya muhimu ili kukijenga!!!!!
angalia dunia itakucheka yaani dr slaa hana hoja za kumjibu shibuda, si kwamba kujibisha na chizi mwisho wa siku mtaonekana wote machizi..