democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
well said dr.
ni kweli Mkuu kumchinja Kobe kunataka timing ila Hii timing wanayofanya kwa Zitto na shibuda miaka yote itakuja Kuki cost chadema sana.Kama Mb'unge shibuda na Zitto cdm tunashindwa kuwafukuzia mbali all this years je wakiwa mawaziri kwenye serikali ya cdm after JK je si yatakuwa yaleyale ya Pinda kwamba ukiwakamata mafisadi nchi itayumba....Sometime I feel like not to trust no buddy sometimes naona ntakuwa nauza uhuru wangu yani vice verseunajua mbunge kuna wakati maneno yake akiongea analindwa na bunge hivyo lazima uwe makini sana na dr dr ni moja ya watu walio makini..kumchinja kobe inahitaji timing..
lazima ashindwe kumjibu make slaa hana hoja huwa ni bingwa wa kuropoka
Toke nimekuwa member wa jf sijawahi kumuona mtu ignorant like you kwani dr slaa ni nani katika hii nchi wali kosolewa mitume itakuja kuwa huyu babu halafu munajiita ma great thinker wengine simukapige tarumbeta kwenye maharusikuna kitu huwa kinaniudhi sana na ndio kwa mara ya kwanza naelewa kwa nini viongozi wengine wanawaua wapinzani wao. Hivi hawa watu wanaomtukana na kumdhara Dr slaa kila siku humu ndani wanataka nini? yaani ni kweli hawa ni vipofu namna hii kwamba hawaoni kwamba Slaa ametoa maisha yake kwa ajili ya wanyonge wengi? mimi sio CDM lakin nilishiriki uchaguzi na nilikua ndani sana na niliona hata kura zake zilivyoibiwa na uthibitisho wa kisayansi watanzania wote tumeuona kwamba JK hakupita bali Slaa alichaguliwa na watanzania kwa asilimia zaidi ya 67 hata baada ya kuibiwa. sasa wewe usiku na mchana unamdharau huyu mtu kwa kupewa vihela, mimi naamini mungu yupo, kweli wewe hata pamoja na hizo hela unategemewa utapata baraka zozote humu duniani? laana zinatabia ya kuhama, sasa je unawatoto? na wajukuu, unadhani watapona hiyo laana yako ya chuki ya kulipwa? ndio maana nasema huu uonevu kwa dr slaa unatofauti gani na uonevu wa serikali kwa watu wake tunaoulalamikia, au nyie wenzetu hamuonewi? ndio maana wengine wanaweza kuua hata kama dini zetu zinatukataza mnataka nini? eti mtu anaweza kumlinganisha Shibuda mbwa koko na Dr Slaa, shibuda aliokotwa na mimi nilishiriki kumuokota kwa ITV kutuma muandishi kwa gari usiku kucha barabarani baada ya CCM kutangaza kwamba amejitoa, aligalagazwa kule na kiswahili chake cha kike jitu kubwa anatia kinyaa nilikutana nae pale hoteli ya paradise nyuma ya ATC hata viatu hawezi kuvaa, leo kavalishwa pampers anajamba cheche, he is a prostitute na hana chochote kisiasas, chadema hawawezi kumfukuza sasa kwa kuwa nia yake ni kuleta migogoro kama ile aliyoifuga hata kule CCM kwao, eti anagombea urais kum challenge mkapa, mara kajitoa bila kuombwa, halafu anagombea tena kum challenge kikwetu, mara anazunguka kuomba tumuandikie kitabu chake, nayeye anajiona ana historia, ni laana tupu afie mbele
naona moyo umesuuzikaSawa Dr Slaa, ni kweli.
BABU hana uwezo wa kujibu malalamiko ya shibuda maana ni mazito na yenye ukweli mtupuShibuda ni politikali humanaiza
asikimbilie kusema hajibishani na shibuda tunataka akanushe kwa ushahidi kwamba cdm hakuna ukanda wala ukabila kwa vielelezo sio tu kusema sijibishani ni ishara ya kuguswa na ukwelikatibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dr W. Slaa amesema hawezi kujibishana na Mbunge wa Maswa mashariki Mangale Shimbuda na akaongeza kuwa shibuda anauhuru wa kusema atakacho...
source magazetini
Naipenda CHADEMA hasa linapofika suala la kufanya mamuzi,hawana matat hata kidogo na hakuna kubembelezana,lakini najiuliza kuna nini kwa huyu Shibuda kwa sababu si mara moja,mbili,tatu au nne
huo ndo ukweli, Shibuda mission yake na Ccm ni kutaka kufukuzwa ili ionekane chadema hawawataki wasukuma au watu toka mikoa mingine na ni madikteta, lengo aharibu mvuto wa chadema kanda ya ziwa, sasa kitendo cha kutomfukuza na kuishia kumdharau kinammaliza nguvu yeye waliomtuma, wamwache hivyo najua tu ameandaliwa asipofukuzwa atajitoa karibu na 2015 wakati uchaguzi ukikaribia, huu ndo mwisho wake, maana hata ccm wanamtumia tu hawamtaki!Shibuda ana kazi yake maalum aliyopewa na ccm, akifukuzwa itakuwa imetimia, akibaki ndani ya Chadema malengo na mawazo ya ccm yatakuwa yamekwama, ukitaka kuufahamu undani tafuta watu wakuelezee.