Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

Nyumba ya milioni 30 yaani nayo unaiona ni nyumba?...Aiseeeee! then bado unaajiliwa na CHADEMA kubishana humu JF.
Kwa kuwa yeye ni mtanzania wa kawaida sana anaiona ni kitu cha kujivunia.....vipi ya kwako ina thamani gani
 
anasubiriwa kwa hamu akajibu tuhuma zilizotolewa na wassira
1. Je ni kweli Dr. Slaa alitafuna hela za ujio wa papaa?
2. Je ni kweli Dr. Slaa alifukuzwa upadri na kanisa katoliki au aliamua kuacha mwenyewe?
3. Je ni kweli hela za sabodo zimetafunwa kifisadi na Slaa na Mbowe?

We need critical answer here

Light blue: Hayo ni maisha binafsi hayana uhusiano wowote na uchaguzi wa ubunge Arumeru Mashariki
 
anasubiriwa kwa hamu akajibu tuhuma zilizotolewa na wassira
1. Je ni kweli Dr. Slaa alitafuna hela za ujio wa papaa?
2. Je ni kweli Dr. Slaa alifukuzwa upadri na kanisa katoliki au aliamua kuacha mwenyewe?
3. Je ni kweli hela za sabodo zimetafunwa kifisadi na Slaa na Mbowe?

We need critical answer here

tanesco. Vipi kuhusu tatizo la umeme mbona wewe hutoi critical solution?
 
Back
Top Bottom