Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

Inawezekana Dr Slaa ana madhaifu mengi kama walivyo binadamu wengine. Ila sisi vijana tunataka change, na mtu anayeweza kuwa vehicle of change kwa sasa ni Dr Slaa. Hata kama hatakuwa kiongozi mzuri, kazi ya kuivunja system na kuijenga upya inatosha. Jeshini, mahakama, usalama wa taifa, polisi, magereza, uhamiaji, balozi na sekta nyingine, pandisha madaraka vijana wachapa kazi na kuwaondoa watu waliowekwa kwa vile watoto wa fulani. Ondoa mizee conservative inayokwamisha maendeleo, weka vijana wazuri.Hilo tu linatosha.
 
Cha Muhimu, jamani ni kulinda kura, siku ya uchaguzi coz CCM, ni mabingwa wa kuchakachuaa
 
WE KENGEMAJI sijaajiriwa kwa buku mbili kama we kenge arifu kimsingi mi ndo nachangia ukombozi.sina njaa,nna shamba kubwa la mahindi na ndizi pia,mi sio ****** kama we Kenge.
 
we KENGEMAJI KWELI,nlimwambia mmoja mchana mimi ni chadema afu nakaa ktk nyumba yangu ya Ml 30.we mtetezi wao unapanga chumba kimoja na bado unadidimizwa.shame on u KENGE

kwa muono wangu wewe sio chadema damu ni lazima utakuwa chadema pandikizi, urari wako wa upatikanaji wa 30mil unatia shaka. ni lazima utakuwa fisadi pandikizi wa ccm
 
We mama picha ya nini wakti nimenasa ITV,umaskini afu bado unashabikia magamba,naona hata tv huna
 
utakosa aje kujaza watu, na wametoka moshi mjini, hai, arusha, rombo, lakini wanaopiga kura ni wachache, baada ya uchaguzi tumeibiwa. hovyo.
 
kengemumaji............. kuna thread inahusu kenge, ila nadhani huyu alikoswa na sensa
 
hapa akikumbatiana na nasari uwnja wa ndege wa KIA
Slaa kukumbatina na Nassari.JPG
hapa akikaribishwa na wanakijiji wa nguruma huko arumeru mashariki akitokea mwanza
Mapokezi ya Slaa 2.JPG
hapa akihutubia wananchi wa nguruma
Slaa kuhutubia 2.JPG
 
Baba Mzazi wa kamanda Nassari amekanusha kile ambacho

alichosema wassira ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM

alisema kwamba mgombea ubunge wa Chadema,Joshua Nassari

hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na

mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na

ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Alisema

kwamba baba wa mgombea huyo ambaye ni kiongozi wa dini

amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi ikiwa ni pamoja na kuoa ili

aweze kutulia lakini cha ajabu Nassari amekataa.

Baba mzazi wa Nassari,kaeleza kuwa Nasari mtoto wake ni

mwadilifu toka yupo kibaha sec hadi chuo kikuu Dsm.

Je !!! Raisi mstaafu mkapa pamoja na Waziri wa serikali

kuendelea kuwadanganya wananchi wa meru,wataaminika vipi kwa

wananchi wa meru ??? inatufanya tujenge hoja hata ahadi

wanazotoa ukweli wake unatia shaka kabisaa ??
 
utakosa aje kujaza watu, na wametoka moshi mjini, hai, arusha, rombo, lakini wanaopiga kura ni wachache, baada ya uchaguzi tumeibiwa. hovyo.

sisi hatuna uwezo wa kuwazombea watu na basi,chadema is da tanzania'z most attracted party rather than magamba so when u hear pipooz.. unawafuata wenyewe.
 
definitely wrong with CCM leaders in campaign, Mkapa talked about family and he is not clean; wasirra is talking about family and he is rotten kwa wanawake

I think CCM was not well prepared to deliberate
 
Mambo yanabadilika kuanzia kesho....lets wait and see!
Namsikitikia sana Slaa!
 
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na huyo Kengemaji tuko naye hafurukuti. Anapima tu akili za watu, he is a politician in such, therefore hana mlango wa kuikimbia/kuchukia siasa.


WE KENGEMAJI sijaajiriwa kwa buku mbili kama we kenge arifu kimsingi mi ndo nachangia ukombozi.sina njaa,nna shamba kubwa la mahindi na ndizi pia,mi sio ****** kama we Kenge.
 
Back
Top Bottom