Msipotoshe mambo. JK aliambatana na kijana wake Kenya kwenye sherehe za kuapishwa rais wa Kenya. Tulipiga kelele sana Ridhwan alipopiga picha akiwa mbele ya viongozi wa serikali kwani tuliona kama protokali haikuzingatiwa. Ujinga tunaolaani unapofanywa na ccm hatuwezi kukaa kimya kwa kuwa tu ujinga huohuo umefanywa na Slaa au na CDM.Mkuu Kimbunga, a JF TANZANITE MEMBER, naomba kuuliza kidogo, Hivi mheshimiwa Kikwete anapokuwa ameambatana na mama Salima katika ziara zake uwakilishi unakuwaga wa kifamilia zaidi?🙁
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?
Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.
Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Wazaramo bila kuona sufuria la wali kikao hakikaliki....haya wali huo umeridhika...Mijitu mingine kwa kuzuwa, mpaka inachafuwa. Hicho chakula kiko wapi hapo? au hayo makaratasi ndio chakula?
Sasa hiyo ndio "state reception" au kaomba appointment apeleke makaratasi yake ya ufataani?
Mijitu minngine mna mnana mtu ambae hanangiki.
Alipewa dakika ngapi na Gavana?
Mkuu mimi sipingi Kiongozi kuambatana na mwenza wake; tatizo ni kwamba hapa kuna Serikali ya Jimbo, Gavana na Mawaziri wake, wakiwa wamempokea Kiongozi wa Chama cha Siasa. Lakini Kiongozi wa Chama cha Siasa yuko yeye na mke wake tu bila kuwa na ujumbe wa chama. Ningemuona kiongozi mwingine wa CHADEMA akiwa ameongozana na Katibu Mkuu kwenye hayo mazungumzo wala nisingekuwa na cha kuuliaza; lakini yeye na mke wake peke yao mbele ya ujumbe wa seruikali ya jimbo inabidi nijiulize. Sijawahi kumuona JK na Salma peke yao wakiwa kwenye mazungumzo ya kiuwakilishi labda iwe wamekaribishwa wao kama familia ama wamekaribisha kama familia.
acheni upumbavu hayo makaratasi anayokabidhi ni research alizoziandika binafsi ili kuomba misaada na si sera za chadema. tusubili baada ya miezi sita utasikia anajenga hotel nyingine ya kitalii.
Mkuu mimi sipingi Kiongozi kuambatana na mwenza wake; tatizo ni kwamba hapa kuna Serikali ya Jimbo, Gavana na Mawaziri wake, wakiwa wamempokea Kiongozi wa Chama cha Siasa. Lakini Kiongozi wa Chama cha Siasa yuko yeye na mke wake tu bila kuwa na ujumbe wa chama. Ningemuona kiongozi mwingine wa CHADEMA akiwa ameongozana na Katibu Mkuu kwenye hayo mazungumzo wala nisingekuwa na cha kuuliaza; lakini yeye na mke wake peke yao mbele ya ujumbe wa seruikali ya jimbo inabidi nijiulize. Sijawahi kumuona JK na Salma peke yao wakiwa kwenye mazungumzo ya kiuwakilishi labda iwe wamekaribishwa wao kama familia ama wamekaribisha kama familia.
...waulize wanaomlamba miguu obama kilikukicha,hata kama hawana cha kufanya basi wanaenda kubembea tu...Dr Slaa ana potezea hao viongozi wa hilo jimbo muda wao tu; hivi kiongozi wa chama kwenda kujikomba komba kwa Wamarekani ina faida gani kwa CHADEMA?
Hivi hiyo ilikuwa
ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza
ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine
naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa
na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa
upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa
upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
Naona kuna document
zinabadilishana mikono pale lakini tatizo ni kwamba Dr. Slaa yupo peke
yake. Isije ikawa ni mikataba kati ya CHADEMA na Alabama?
Hivi hiyo ilikuwa ziara binafsi au ziara ya kichama? Nauliza kwa sababu naona kwenye meza ya mazungumzo yupo Dr. Slaa na Mama Josephine lakini upande mwingine naambiwa kuna Gavana na Mawaziri. Kwa hiyo ujumbe wa CHADEMA uliongozwa na Dr. Slaa na Mama Josephine peke yao? Inakuwa kama Mseto vile; kwa upande wa Alabama State uwakilishi ni wa viongozi wa Jimbo lakini kwa upande wa CHADEMA uwakilishi unakuwa wa familia zaidi!
Duh! Hii kali, wabongo tumezoea kuona sinia la wali tukikaa tumelizunguka, hii ya kizungu kutanguliziwa wine we imekupitia kisogoni.
obama alipokuja africa aliongozana na mkewe michelle na watoto wake sasher na maria.! Je, ilikuwa na ziara ya kitaifa au alikuja 'picnic' na familia yake.??
Tatizo mambumbumbu wengi hamjui role & influence ya mke/familia kwa rais.!
Hongera dr kwa kulitambua hilo
Hivi mwigulu yeye ziara zake amekutana na akina nan? Ila dr slaa wnampenda watu.
Sasa wewe uliambiwa hapo wanakula? kigezo cha uwepo wa mlo ni meza na kiti kwani? Nadhani umma na kisu ndiyo ishara ya meza iliyoandaliwa kwa maakuli ya dunia ya hawa jamaa. Ingekuwa CCM hata maji ya kunawa hayaji unafuta mkono kwenye shati unatandika punga
acheni upumbavu
hayo makaratasi anayokabidhi ni research alizoziandika binafsi ili
kuomba misaada na si sera za chadema. tusubili baada ya miezi sita
utasikia anajenga hotel nyingine ya kitalii.